Jeshi la Polisi liendelee kuwakamata wote wenye kuleta maneno ya Uchochezi na kuwatupa Ndani kwa mahojiano

Hakuna chama chenye ubavu wala uwezo wa kushindana na CCM Katika sanduku la kura.Hajuna chama pia kinachoweza kuchukua nafasi ya CCM hapa nchini.
Nyie wazee wote ndio mnaamini hivyo. Ila kizazi hiki sio cha CCM. Mapinduzi ya kijeshi ama machafuko ndio yatawatoa madarakani. Kwa katiba hii mtaendelea kupotezea watu muda kwenye box la kura.
 
Mali Si zenu, k lakini tamaa ya kuuza sasa!!!

Nyerere angekuwa na mawazo kama yenu, mngemkuta chochote?

Hamtafanikiw kamwe, na mwisho ni 2025.
Bandari zetu zipo katika mikono salama ya Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia. CCM itaendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingi sana ijayo
 
Nyie wazee wote ndio mnaamini hivyo. Ila kizazi hiki sio cha CCM. Mapinduzi ya kijeshi ama machafuko ndio yatawatoa madarakani. Kwa katiba hii mtaendelea kupotezea watu muda kwenye box la kura.
Kibaya zaidi na cha kuchekesha unaandika huku umejificha kwako na inatumia jina bandia,kama wewe mwanaume toka hadharani na hayo maneno yako ili ukione cha mtema kuni
 
Bandari zetu zipo katika mikono salama ya Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia. CCM itaendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingi sana ijayo
CCM haivuki 2026 ikiwa madarakani Kwa mwendo huu.

Tusubiri.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nalipongeza jeshi la polisi kuanza kuchukua hatua za kuwakamata na kuwahoji wote wenye kutumia lugha za uchochezi, ubaguzi na zenye hatari ya kuligawa Taifa na kuleta machafuko na mpasuko nchini.Japo naona ni kama hatua zinazoanza kuchukuliwa kwa sasa zilichelewa kidogo ,hata hivyo ni jambo jema na imetupatia faraja na kutuliza mioyo yetu ambao tulikuwa tunaona hatari ya kauli zilizokuwa zikitolewa na baadhi ya watu kwa kutumia vibaya uhuru wa demokrasia uliostawi hapa nchini pasipo kuchukuliwa hatua madhubuti.

Kila mtu ni lazima afahamu kuwa uhuru hauwezi kuwa kwa ajili ya kuwadhalilisha wengine,kuwavunjia heshima wengine,kumtukana na kumshambulia mh Rais kwa lugha zilizokosa hekima na adabu hata pasipo sababu. Ni lazima watu wazingatie sheria. kuwaacha watambe na matusi yao hadharani pasipo kuchukuliwa hatua ilikuwa ni kupanda mbegu mbaya,kuliweka Taifa katika hali ya hatari ya kuleta machafuko, mpasuko, ubaguzi, mgawanyiko na kuweka Rehani utulivu na amani ya Taifa letu.

Kilichokuwa kikiendelea hasa kutoka katika vinywa na midomo ya viongozi wa chadema ilikuwa siyo demokrasia wala uhuru wala ustaarabu wala ulikuwa hauwezi kukubalika katika Taifa lolote lile ,bali ilikuwa ni uhuni,vurugu na hatari tupu kwa Taifa.Hali ile haipaswi kuvumiliwa wala kuachiwa kuwa ni utamaduni au kawaida ya mtu kusimama jukwaani na kuanza kumtukana Rais,kutumia lugha za ubaguzi kwa misingi ya ukabila, ukanda, Udini na hata jinsia pamoja na kuhamasisha machafuko na chuki katika vifua vya watanzania kamwe tusikubali tena kuulea utamaduni uliotaka kuonekana kama kawaida,tusiwape nafasi wahuni na watu waliokosa adabu na malezi mazuri kutoka kwa wazazi wao wakaharibu amani na utulivu wa Taifa letu.

Jeshi la polisi liendelea kwa kasi na nguvu kubwa kuwazoa na kuwahoji wote watakao endelea kutumia maneno yasiyo kubalika katika jamii yetu kisheria na kikatiba,isikubalike na isitolewe nafasi ya watu kutumia vibaya uhuru uliopaliliwa na serikali yetu kupandikiza chuki miongoni mwao watanzania,.jeshi la polisi lisimuogope mtu au kikundi au chama wala kuogopa maneno ya watu au matamko ya watu au taasisi za kimataifa katika jambo linalogusa usalama wetu ,maana ni sisi tutakao umia nchi ikipasuka na kupasuliwa na hawa wenye uroho wa madaraka.

Kamata wote tupa ndani kwa ajili ya mahojiano,msisikilize makelele wala nyaraka za vikundi vya wanaharakati kutoka mahali popote, maana ukikosa msimamo kiuongozi na watu wakijuwa kuwa huna msimamo na ni mtu wa kutetemeka na kutetereshwa lazima wakuyumbishee na kukufanyia kila aina ya vituko. Sasa ni wakati wenu jeshi la polisi kusonga mbele bila hofu wala wasiwasi,ilimradi tu mnatekeleza majukumu yenu kwa mujibu wa sheria ,kanuni ,taratibu na katiba ya Nchi.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.

Naona unajitahidi sana kuandika humu JF kutetea Seriakli na chama chake ccm.
Vipi wameshikulipa au bado, maana ujue ikisha tumika, huna kazi nao tena wala dhamani yako haitakuwepo.

Wengi walishatumika, mwisho wao haujulikani mpaka sasa, hivyo husiwe mtu wa kutetea vitu kiitikadi maana matokeo hayatachagua itikadi.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nalipongeza jeshi la polisi kuanza kuchukua hatua za kuwakamata na kuwahoji wote wenye kutumia lugha za uchochezi, ubaguzi na zenye hatari ya kuligawa Taifa na kuleta machafuko na mpasuko nchini.Japo naona ni kama hatua zinazoanza kuchukuliwa kwa sasa zilichelewa kidogo ,hata hivyo ni jambo jema na imetupatia faraja na kutuliza mioyo yetu ambao tulikuwa tunaona hatari ya kauli zilizokuwa zikitolewa na baadhi ya watu kwa kutumia vibaya uhuru wa demokrasia uliostawi hapa nchini pasipo kuchukuliwa hatua madhubuti.

Kila mtu ni lazima afahamu kuwa uhuru hauwezi kuwa kwa ajili ya kuwadhalilisha wengine,kuwavunjia heshima wengine,kumtukana na kumshambulia mh Rais kwa lugha zilizokosa hekima na adabu hata pasipo sababu. Ni lazima watu wazingatie sheria. kuwaacha watambe na matusi yao hadharani pasipo kuchukuliwa hatua ilikuwa ni kupanda mbegu mbaya,kuliweka Taifa katika hali ya hatari ya kuleta machafuko, mpasuko, ubaguzi, mgawanyiko na kuweka Rehani utulivu na amani ya Taifa letu.

Kilichokuwa kikiendelea hasa kutoka katika vinywa na midomo ya viongozi wa chadema ilikuwa siyo demokrasia wala uhuru wala ustaarabu wala ulikuwa hauwezi kukubalika katika Taifa lolote lile ,bali ilikuwa ni uhuni,vurugu na hatari tupu kwa Taifa.Hali ile haipaswi kuvumiliwa wala kuachiwa kuwa ni utamaduni au kawaida ya mtu kusimama jukwaani na kuanza kumtukana Rais,kutumia lugha za ubaguzi kwa misingi ya ukabila, ukanda, Udini na hata jinsia pamoja na kuhamasisha machafuko na chuki katika vifua vya watanzania kamwe tusikubali tena kuulea utamaduni uliotaka kuonekana kama kawaida,tusiwape nafasi wahuni na watu waliokosa adabu na malezi mazuri kutoka kwa wazazi wao wakaharibu amani na utulivu wa Taifa letu.

Jeshi la polisi liendelea kwa kasi na nguvu kubwa kuwazoa na kuwahoji wote watakao endelea kutumia maneno yasiyo kubalika katika jamii yetu kisheria na kikatiba,isikubalike na isitolewe nafasi ya watu kutumia vibaya uhuru uliopaliliwa na serikali yetu kupandikiza chuki miongoni mwao watanzania,.jeshi la polisi lisimuogope mtu au kikundi au chama wala kuogopa maneno ya watu au matamko ya watu au taasisi za kimataifa katika jambo linalogusa usalama wetu ,maana ni sisi tutakao umia nchi ikipasuka na kupasuliwa na hawa wenye uroho wa madaraka.

Kamata wote tupa ndani kwa ajili ya mahojiano,msisikilize makelele wala nyaraka za vikundi vya wanaharakati kutoka mahali popote, maana ukikosa msimamo kiuongozi na watu wakijuwa kuwa huna msimamo na ni mtu wa kutetemeka na kutetereshwa lazima wakuyumbishee na kukufanyia kila aina ya vituko. Sasa ni wakati wenu jeshi la polisi kusonga mbele bila hofu wala wasiwasi,ilimradi tu mnatekeleza majukumu yenu kwa mujibu wa sheria ,kanuni ,taratibu na katiba ya Nchi.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Unajisahau sana mdogo wangu!!!
Hii dunia sote tunapita. Walikuwepo wababe kama Hitler, Idd Amin Dadaa n.k., leo wamebaki ni historia mbaya tu! Ubabe dhidi.ya binadamu mwenzio haukuongezei Credit yoyote duniani wala mbinguni. Kila kitu hapa duniani ni ubatili mtupu!! Kuwa na hekima kwanza.
 
Usidanganye watu,

Tangu utoto wangu, polisi walikuwa wakilinda nje ya GETI letu, mchana mfanyakazi anawapelekea chakula.

KAZI Yao ni kulinda USALAMA, Hawajawahi kutufyatulia Risasi.

Waandamanaji wanatoa maoni, na ni uhuru wao kikatiba.

Hawatakiwi tu kubeba silaha au kuharibu Mali ya mtu.

Usiuzie watu Uoga!!!
Mbona wewe usiye muoga umeshindwa kutoka hadharani na badala yake umebaki umejikunyata na kujificha kwenye fake id? Unataka nani abebe atangulie mbele ili wewe uwe unachungulia kwenye madirisha ya chooni kwako kinachoendelea nje
 
Wait and see!!!

Nchi ni yetu sote, Si ya kundi dogo!!!
 
Unajisahau sana mdogo wangu!!!
Hii dunia sote tunapita. Walikuwepo wababe kama Hitler, Idd Amin Dadaa n.k., leo wamebaki ni historia mbaya tu! Ubabe dhidi.ya binadamu mwenzio haukuongezei Credit yoyote duniani wala mbinguni. Kila kitu hapa duniani ni ubatili mtupu!! Kuwa na hekima kwanza.
Ninachohitaji ni watu kutumia hekima ,busara na lugha za staha katika kutoa maoni juu ya serikali. Napinga kwa nguvu zote lugha zitumiwazo na wanaojiita wanaharakati zinazochochea chuki,ubaguzi ,machafuko na kulipasua ama kuligawa Taifa letu.jambo hilo halikubaliki na halipaswi kuachwa kukua ndani ya Taifa letu.Ni lazima mbegu na mizizi yake isiruhusiwe kukua ndani yetu. Taifa letu ni kubwa kuliko maslahi yetu binafsi na hivyo hatuwezi kukubali watu wachache walete machafuko kwa Taifa letu
 
Mahakama Tayari imeshatoa uamuzi kwa hiyo usiishie kuongea tu humu bali kama hujaridhishwa na uamuzi wa mahakama unaweza kwenda kukata Rufaa.
Shwaini!!
Nimejitahidi sana kujizuia lkn Moderator mniwie radhi!
Huyu anasema waende mahakamani; wapi? Wakili Mwabukusi na Mdude mmewakamatia vyumbani kwao? Si walikuwa njiani wakielekea Dar kufungua kesi ya rufaa Mahakama ya rufani. Yaani mnamchapa kiboko mtanganyika kisha mnamzuia kulia!! Yaani hata huelewi kinachoendelea!!
 
Mbona wewe usiye muoga umeshindwa kutoka hadharani na badala yake umebaki umejikunyata na kujificha kwenye fake id? Unataka nani abebe atangulie mbele ili wewe uwe unachungulia kwenye madirisha ya chooni kwako kinachoendelea nje

1691917976865.png
1691917843008.png
 
Ninachohitaji ni watu kutumia hekima ,busara na lugha za staha katika kutoa maoni juu ya serikali. Napinga kwa nguvu zote lugha zitumiwazo na wanaojiita wanaharakati zinazochochea chuki,ubaguzi ,machafuko na kulipasua ama kuligawa Taifa letu.jambo hilo halikubaliki na halipaswi kuachwa kukua ndani ya Taifa letu.Ni lazima mbegu na mizizi yake isiruhusiwe kukua ndani yetu. Taifa letu ni kubwa kuliko maslahi yetu binafsi na hivyo hatuwezi kukubali watu wachache walete machafuko kwa Taifa letu
Believe me, hakuna mahali popote duniani amani ilipolidwa na kudumu kwa kutumia mtutu wa bunduki. Amani ni tunda la haki. Penye haki amani hustawi automatically na kinyume chake ni sahihi pia!
 
Mimi huwa sivutiwi na kamata kamata kwenye ishu za kisiasa lakini alichofanya Mwabukusi hakivumiliki. Kama mahakama ilishatoa hukumu kuna taratibu za kufuata na sio kusema utaitisha maandamano nchi nzima. Alichokitamka Mwabukusi ni uchochezi. Polisi wako sahihi kumkamata.
 
Shwaini!!
Nimejitahidi sana kujizuia lkn Moderator mniwie radhi!
Huyu anasema waende mahakamani; wapi? Wakili Mwabukusi na Mdude mmewakamatia vyumbani kwao? Si walikuwa njiani wakielekea Dar kufungua kesi ya rufaa Mahakama ya rufani. Yaani mnamchapa kiboko mtanganyika kisha mnamzuia kulia!! Yaani hata huelewi kinachoendelea!!
Kama kakamatwa nenda wewe ukafungue kesi na siyo kuleta mahasira yako huku nenda kapambane mahakamani ili na wewe udondokee pua kama wenzio walioshindwa hata kuishawishi mahakama kwa hoja. walifikiri mahakamani ni mahali pa kupiga blaa blaa kama wapigavyo majukwaani ambako wanakutana na wenzao wanaofanana akili
 
Ninachohitaji ni watu kutumia hekima ,busara na lugha za staha katika kutoa maoni juu ya serikali. Napinga kwa nguvu zote lugha zitumiwazo na wanaojiita wanaharakati zinazochochea chuki,ubaguzi ,machafuko na kulipasua ama kuligawa Taifa letu.jambo hilo halikubaliki na halipaswi kuachwa kukua ndani ya Taifa letu.Ni lazima mbegu na mizizi yake isiruhusiwe kukua ndani yetu. Taifa letu ni kubwa kuliko maslahi yetu binafsi na hivyo hatuwezi kukubali watu wachache walete machafuko kwa Taifa letu
1691918046177.png
Hii kazi unaiwezea kweli, kula tano
 
Kama kakamatwa nenda wewe ukafungue kesi na siyo kuleta mahasira yako huku nenda kapambane mahakamani ili na wewe udondokee pua kama wenzio walioshindwa hata kuishawishi mahakama kwa hoja.walifikiri mahakamani ni mahali pa kupiga blaa blaa kama wapigavyo majukwaani ambako wanakutana na wenzao wanaofanana akili

Unapomwambia mwenzako aende mahakamani, Kwani wewe umeenda mahakamani?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nalipongeza jeshi la polisi kuanza kuchukua hatua za kuwakamata na kuwahoji wote wenye kutumia lugha za uchochezi, ubaguzi na zenye hatari ya kuligawa Taifa na kuleta machafuko na mpasuko nchini.

Japo naona ni kama hatua zinazoanza kuchukuliwa kwa sasa zilichelewa kidogo, hata hivyo ni jambo jema na imetupatia faraja na kutuliza mioyo yetu ambao tulikuwa tunaona hatari ya kauli zilizokuwa zikitolewa na baadhi ya watu kwa kutumia vibaya uhuru wa demokrasia uliostawi hapa nchini pasipo kuchukuliwa hatua madhubuti.

Kila mtu ni lazima afahamu kuwa uhuru hauwezi kuwa kwa ajili ya kuwadhalilisha wengine, kuwavunjia heshima wengine,k umtukana na kumshambulia Mh. Rais kwa lugha zilizokosa hekima na adabu hata pasipo sababu. Ni lazima watu wazingatie sheria.

Kuwaacha watambe na matusi yao hadharani pasipo kuchukuliwa hatua ilikuwa ni kupanda mbegu mbaya, kuliweka Taifa katika hali ya hatari ya kuleta machafuko, mpasuko, ubaguzi, mgawanyiko na kuweka Rehani utulivu na amani ya Taifa letu.

Kilichokuwa kikiendelea hasa kutoka katika vinywa na midomo ya Viongozi wa CHADEMA ilikuwa siyo demokrasia wala uhuru wala ustaarabu wala ulikuwa hauwezi kukubalika katika Taifa lolote lile, bali ilikuwa ni uhuni, vurugu na hatari tupu kwa Taifa.

Hali ile haipaswi kuvumiliwa wala kuachiwa kuwa ni utamaduni au kawaida ya mtu kusimama jukwaani na kuanza kumtukana Rais,kutumia lugha za ubaguzi kwa misingi ya ukabila, ukanda, Udini na hata jinsia pamoja na kuhamasisha machafuko na chuki katika vifua vya Watanzania.

Kamwe tusikubali tena kuulea utamaduni uliotaka kuonekana kama kawaida, tusiwape nafasi wahuni na watu waliokosa adabu na malezi mazuri kutoka kwa wazazi wao wakaharibu amani na utulivu wa Taifa letu.

Jeshi la Polisi liendelea kwa kasi na nguvu kubwa kuwazoa na kuwahoji wote watakao endelea kutumia maneno yasiyo kubalika katika jamii yetu Kisheria na Kikatiba. Isikubalike na isitolewe nafasi ya watu kutumia vibaya uhuru uliopaliliwa na serikali yetu kupandikiza chuki miongoni mwao Watanzania.

Jeshi la polisi lisimuogope mtu au kikundi au chama wala kuogopa maneno ya watu au matamko ya watu au taasisi za kimataifa katika jambo linalogusa usalama wetu, maana ni sisi tutakao umia nchi ikipasuka na kupasuliwa na hawa wenye uroho wa madaraka.

Kamata wote tupa ndani kwa ajili ya mahojiano, msisikilize makelele wala nyaraka za vikundi vya wanaharakati kutoka mahali popote, maana ukikosa msimamo kiuongozi na watu wakijua kuwa huna msimamo na ni mtu wa kutetemeka na kutetereshwa lazima wakuyumbishee na kukufanyia kila aina ya vituko.

Sasa ni wakati wenu Jeshi la Polisi kusonga mbele bila hofu wala wasiwasi, ilimradi tu mnatekeleza majukumu yenu kwa mujibu wa sheria, kanuni, taratibu na katiba ya Nchi.

Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
DPW wakitaka na vituo vya mabasi wapewe vyote.Watanzania tupo busy na simba na UTO
 
Back
Top Bottom