Jeshi la Polisi liendelee kuwakamata wote wenye kuleta maneno ya Uchochezi na kuwatupa Ndani kwa mahojiano

Nadhani nimeeleweka ,tuifanye nchi yetu sehemu ya amani, ni Bora kula kande huku tukiwa na amani ,kulikoni kula nyama utumwani,,polisi hakikisheni kila mwenye viashiria vya uhaini anakamatwa hata mwenye dalili za uhaini asiachwe ! Inchi iwe salama ,
 
Rubbish from a rabid mind
 
Nadhani nimeeleweka ,tuifanye nchi yetu sehemu ya amani, ni Bora kula kande huku tukiwa na amani ,kulikoni kula nyama utumwani,,polisi hakikisheni kila mwenye viashiria vya uhaini anakamatwa hata mwenye dalili za uhaini asiachwe ! Inchi iwe salama ,

Naomba maana ya uhaini kulingana na kusema ukweli au uongo.
 
Kibaya zaidi na cha kuchekesha unaandika huku umejificha kwako na inatumia jina bandia,kama wewe mwanaume toka hadharani na hayo maneno yako ili ukione cha mtema kuni
Mimi sina haja ya kutumia jina langu hapa maana sitafuti cheo kama ww. Na isitoshe sijavunja sheria zozote za hili jukwaa kwa kutumia jina bandia.

Hakuna mabadiliko bila maumivu. Nyie mnaofaidika na huu Utawala wa majizi ya kura, huu ni muda wenu wa mwisho mwisho kutamba, kibao kitageuka hamtaamini macho yenu.
 
Serikali inatumia polisi kutishia raia
Nawakumbusha tu raia wengi wamekata tamaa na hawana cha kupoteza.
 
Soma ufahamu kwanini nimemjibu hivyo huyo ndugu yangu mtanzania
Mahakama ziko Kenya, hapa kuna majengo ya mahakama yaliyo chini ya Makada wa CCM. Labda ungemshauri aende kwenye mahakama za kimataifa, huko serikali huwa haishindi maana hakuna amri toka juu.
 
Nadhani nimeeleweka ,tuifanye nchi yetu sehemu ya amani, ni Bora kula kande huku tukiwa na amani ,kulikoni kula nyama utumwani,,polisi hakikisheni kila mwenye viashiria vya uhaini anakamatwa hata mwenye dalili za uhaini asiachwe ! Inchi iwe salama ,
Hahahaha

Mahakama imeshahukumu kwani?
 
Nadhani nimeeleweka ,tuifanye nchi yetu sehemu ya amani, ni Bora kula kande huku tukiwa na amani ,kulikoni kula nyama utumwani,,polisi hakikisheni kila mwenye viashiria vya uhaini anakamatwa hata mwenye dalili za uhaini asiachwe ! Inchi iwe salama ,
post nzuri sana, serikali iwe makini sana tulinde tunu yetu hii adhimu sana duniani namaanisha amani na upendo kwa watanzania.
 
Toka hadharani ukaandamane uone utakavyonyakuliwa kama kifaranga na kutupwa ndani. Siyo kujificha huku na kuandika porojo zako za kila siku
Ni kweli na hapo ndio jeuri yenu ndogo ilipo, hiyo mbeleko itakatika haina muda. Narudia tena, mapinduzi ya kijeshi ama machafuko ndio yataleta mabadiliko ya kweli ya kimfumo hapa nchini.
 
Ni bora watuuwe wtz wote kuliko kukubali mambo ya hovyo yanayofanywa na watawala wa awamu ya sita.mababu zetu wasingekubali kupigana na wakoloni weupe kwa kuogopa kufa hadi leo wazungu wangeendelea kuwepo.
 
Naunga mkono hoja 100% tumeshasema sana hapa JF, "sikio la kufa halisikii dawa" watu wanajifanya hawaelewi.

Nauomba na uongozi wa JF Maxence Melo na wengie wote, hususan @contents managers msijiingize kwenye mtego wa kuwacha JF iwe kijiwe cha uchochezi na lugha chafu kwa viongozi wetu.

Tafadhali angalieni sana contents za posts na msione haya kuzifuta posts zenye lugha chafu, hii ipo kwenye kanuni za JF.

Tujadiliane humu kwa hoja. Mimi naamini hakuna kiongozi, awe wa CCM au chadema au ACT au chama chochote kingine ambae watu wote watakubaliana nae. Tulumbane kwa hoja zenye kuweza kutuamsha bongo zetu na kutufanya tufanye tafiti, tukubaliane kutokukubaliana bila matusi wala lugha chafu.
 
kahamie huko kenya, Kenya siyo nchi ya kuitolea mfano. umeona mitaa ya maskini wa Kenya. Usifananishe vitu visivyoendana, hatutaki siasa za hovyo km zile za Kenya.
Wenzako wana akili siasa za kenya huwezi fananisha na siasa za bongo, maskini wapo dunia nzima, au hulijui hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…