Jeshi la Polisi liendelee kuwakamata wote wenye kuleta maneno ya Uchochezi na kuwatupa Ndani kwa mahojiano

Zamani wakati watu wamelala CCM iliweza kushinda kwa haki. Toka uchaguzi wa 2010 kizazi za CCM kilipoisha, wizi kwa kushirikiana na vyombo vya dola na tume isiyo huru ya uchaguzi ndio mbeleko ya CCM. Uchaguzi wa 2020 chini ya dhalimu Magufuli ndio tulishuhudia uchaguzi wa kishenzi kupita maelezo. Na ushahidi wa ushenzi ule upo wazi.

Kile kizazi cha waliolala wa kuichagua CCM kwa hiari kimeshapita, ndio maana tunashuhudia chaguzi za kishenzi mno ili CCM ibaki madarakani. Ifike mahali CCM mkubali kuwa wakati ukuta, na zama zenu zimeshapita. Vinginevyo jiandaeni kwa machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi na tutayaunga mkono.
Hakuna chama chenye ubavu wala uwezo wa kushindana na CCM Katika sanduku la kura.Hajuna chama pia kinachoweza kuchukua nafasi ya CCM hapa nchini.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nalipongeza jeshi la polisi kuanza kuchukua hatua za kuwakamata na kuwahoji wote wenye kutumia lugha za uchochezi, ubaguzi na zenye hatari ya kuligawa Taifa na kuleta machafuko na mpasuko nchini.Japo naona ni kama hatua zinazoanza kuchukuliwa kwa sasa zilichelewa kidogo ,hata hivyo ni jambo jema na imetupatia faraja na kutuliza mioyo yetu ambao tulikuwa tunaona hatari ya kauli zilizokuwa zikitolewa na baadhi ya watu kwa kutumia vibaya uhuru wa demokrasia uliostawi hapa nchini pasipo kuchukuliwa hatua madhubuti.

Kila mtu ni lazima afahamu kuwa uhuru hauwezi kuwa kwa ajili ya kuwadhalilisha wengine,kuwavunjia heshima wengine,kumtukana na kumshambulia mh Rais kwa lugha zilizokosa hekima na adabu hata pasipo sababu. Ni lazima watu wazingatie sheria. kuwaacha watambe na matusi yao hadharani pasipo kuchukuliwa hatua ilikuwa ni kupanda mbegu mbaya,kuliweka Taifa katika hali ya hatari ya kuleta machafuko, mpasuko, ubaguzi, mgawanyiko na kuweka Rehani utulivu na amani ya Taifa letu.

Kilichokuwa kikiendelea hasa kutoka katika vinywa na midomo ya viongozi wa chadema ilikuwa siyo demokrasia wala uhuru wala ustaarabu wala ulikuwa hauwezi kukubalika katika Taifa lolote lile ,bali ilikuwa ni uhuni,vurugu na hatari tupu kwa Taifa.Hali ile haipaswi kuvumiliwa wala kuachiwa kuwa ni utamaduni au kawaida ya mtu kusimama jukwaani na kuanza kumtukana Rais,kutumia lugha za ubaguzi kwa misingi ya ukabila, ukanda, Udini na hata jinsia pamoja na kuhamasisha machafuko na chuki katika vifua vya watanzania kamwe tusikubali tena kuulea utamaduni uliotaka kuonekana kama kawaida,tusiwape nafasi wahuni na watu waliokosa adabu na malezi mazuri kutoka kwa wazazi wao wakaharibu amani na utulivu wa Taifa letu.

Jeshi la polisi liendelea kwa kasi na nguvu kubwa kuwazoa na kuwahoji wote watakao endelea kutumia maneno yasiyo kubalika katika jamii yetu kisheria na kikatiba,isikubalike na isitolewe nafasi ya watu kutumia vibaya uhuru uliopaliliwa na serikali yetu kupandikiza chuki miongoni mwao watanzania,.jeshi la polisi lisimuogope mtu au kikundi au chama wala kuogopa maneno ya watu au matamko ya watu au taasisi za kimataifa katika jambo linalogusa usalama wetu ,maana ni sisi tutakao umia nchi ikipasuka na kupasuliwa na hawa wenye uroho wa madaraka.

Kamata wote tupa ndani kwa ajili ya mahojiano,msisikilize makelele wala nyaraka za vikundi vya wanaharakati kutoka mahali popote, maana ukikosa msimamo kiuongozi na watu wakijuwa kuwa huna msimamo na ni mtu wa kutetemeka na kutetereshwa lazima wakuyumbishee na kukufanyia kila aina ya vituko. Sasa ni wakati wenu jeshi la polisi kusonga mbele bila hofu wala wasiwasi,ilimradi tu mnatekeleza majukumu yenu kwa mujibu wa sheria ,kanuni ,taratibu na katiba ya Nchi.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
JPM mlimtukana wanaccm akiwa hai hadi sasa akiwa hayati bado mnaendelea kumbagaza hamkukamatwa uchawa wako usio na utu utaulipia gharama kubwa
 
Limkamate na mtoto wa samia atueleze ana cheo gani kwenye wizara ya madini?
 
Hio namba niya nn hapo?
 
Siku yakiwakuta nani atawasaidia? Ipo siku yatageuka pa, afu mtahama wote
 
Unasoma SHERIA ipi inayosea Mwananchi akitoa maoni yake akamatwe?

Na akikamatwa atashtakiwa Kwa kosa Gani?

Una kiwango Gani Cha Elimu?
Acha kukurupuka ndugu yangu ,soma uelewe kisichokubalika wala kuvumiliwa ni kuwaacha watu waliokosa adabu,staha na heshima wanapofungua midomo na vinywa vyao wawapo majukwaani na mbele ya camera. Hatuwezi kukubali mtu atumie kile kinachoitwa uhuru na demokrasia kutukana matusi,kuchochea vurugu na machafuko pamoja na kuleta ubaguzi hapa nchini. Hilo jambo halikubaliki mahali popote pale na katika Taifa lolote lile. Ni lazima watu kama akina Mdude na Mwabukusi waanze kuwajibishwa na kutupwa ndani kwa ajili ya mahojiano zaidi na ya kina .
 
Hamna case hapo, ni vitisho tu,

Na Bahati mbaya ni kuwa waliokamatwa wameshavuka viwango hivyo vya HOFU!!!
 
Siku yakiwakuta nani atawasaidia? Ipo siku yatageuka pa, afu mtahama wote
Tii sheria bila shuruti,.kosoa kwa lugha za kiungwana na siyo unatoa maneno machafu utafikiri umeopolewa chooni baada ya kuzidiwa na pombe kichwani uliyo kunywa na manjaa Tumboni.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nalipongeza jeshi la polisi kuanza kuchukua hatua za kuwakamata na kuwahoji wote wenye kutumia lugha za uchochezi, ubaguzi na zenye hatari ya kuligawa Taifa na kuleta machafuko na mpasuko nchini.Japo naona ni kama hatua zinazoanza kuchukuliwa kwa sasa zilichelewa kidogo ,hata hivyo ni jambo jema na imetupatia faraja na kutuliza mioyo yetu ambao tulikuwa tunaona hatari ya kauli zilizokuwa zikitolewa na baadhi ya watu kwa kutumia vibaya uhuru wa demokrasia uliostawi hapa nchini pasipo kuchukuliwa hatua madhubuti.

Kila mtu ni lazima afahamu kuwa uhuru hauwezi kuwa kwa ajili ya kuwadhalilisha wengine,kuwavunjia heshima wengine,kumtukana na kumshambulia mh Rais kwa lugha zilizokosa hekima na adabu hata pasipo sababu. Ni lazima watu wazingatie sheria. kuwaacha watambe na matusi yao hadharani pasipo kuchukuliwa hatua ilikuwa ni kupanda mbegu mbaya,kuliweka Taifa katika hali ya hatari ya kuleta machafuko, mpasuko, ubaguzi, mgawanyiko na kuweka Rehani utulivu na amani ya Taifa letu.

Kilichokuwa kikiendelea hasa kutoka katika vinywa na midomo ya viongozi wa chadema ilikuwa siyo demokrasia wala uhuru wala ustaarabu wala ulikuwa hauwezi kukubalika katika Taifa lolote lile ,bali ilikuwa ni uhuni,vurugu na hatari tupu kwa Taifa.Hali ile haipaswi kuvumiliwa wala kuachiwa kuwa ni utamaduni au kawaida ya mtu kusimama jukwaani na kuanza kumtukana Rais,kutumia lugha za ubaguzi kwa misingi ya ukabila, ukanda, Udini na hata jinsia pamoja na kuhamasisha machafuko na chuki katika vifua vya watanzania kamwe tusikubali tena kuulea utamaduni uliotaka kuonekana kama kawaida,tusiwape nafasi wahuni na watu waliokosa adabu na malezi mazuri kutoka kwa wazazi wao wakaharibu amani na utulivu wa Taifa letu.

Jeshi la polisi liendelea kwa kasi na nguvu kubwa kuwazoa na kuwahoji wote watakao endelea kutumia maneno yasiyo kubalika katika jamii yetu kisheria na kikatiba,isikubalike na isitolewe nafasi ya watu kutumia vibaya uhuru uliopaliliwa na serikali yetu kupandikiza chuki miongoni mwao watanzania,.jeshi la polisi lisimuogope mtu au kikundi au chama wala kuogopa maneno ya watu au matamko ya watu au taasisi za kimataifa katika jambo linalogusa usalama wetu ,maana ni sisi tutakao umia nchi ikipasuka na kupasuliwa na hawa wenye uroho wa madaraka.

Kamata wote tupa ndani kwa ajili ya mahojiano,msisikilize makelele wala nyaraka za vikundi vya wanaharakati kutoka mahali popote, maana ukikosa msimamo kiuongozi na watu wakijuwa kuwa huna msimamo na ni mtu wa kutetemeka na kutetereshwa lazima wakuyumbishee na kukufanyia kila aina ya vituko. Sasa ni wakati wenu jeshi la polisi kusonga mbele bila hofu wala wasiwasi,ilimradi tu mnatekeleza majukumu yenu kwa mujibu wa sheria ,kanuni ,taratibu na katiba ya Nchi.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Ahsante kwa post nzuri ya kuliponya Taifa letu. Washughulikiwe kisawasawa, km mapumbu yaminywe vya kutosha, watoke wakiwa hawana tena hata uwezo wa kumtongoza mwanamke, shenz shwain. Mtu unamtukana rais wetu? unatokwa mapovu mdomoni utafikiri kuna kitu umedhulumiwa, eti sis watanganyika, watanganyika labda wao na mama zao walioshindwa kuwafunza vizuri kuheshimu wakubwa. wakaozee huko jela hao ngedere
 
Mleta mada ulishawahi hata kwenda Nairobi ukaona wenzako maendeleo yao, au uko tuuu hapo mbezi beach unaamua kuwatete watu wenye akili ndogo
kahamie huko kenya, Kenya siyo nchi ya kuitolea mfano. umeona mitaa ya maskini wa Kenya. Usifananishe vitu visivyoendana, hatutaki siasa za hovyo km zile za Kenya.
 
Hilo jeshi la polisi ndio hutumika kusimamia wizi wa kura ili CCM iendelee kukaa madarakani kwa shuruti. Hivyo ni sahihi waendelee kukitetea chama walichokilinda kukaa madarakani kwa njia haramu.
km mna ushahidi mbona hamuendaki mahakamani? wazushi tu nyie tumewazoea
 
Back
Top Bottom