Geofre Maseta
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 881
- 1,632
Kwn mpk Chadema wawepo ?? Andamaneni tu si mnaongoza serikali huko zenji?? Sasa kelele za nn ???Maandamano ni HAKI ya kikatiba.
CDM cjui wamejificha wapi kuanzisha maandamano kushinikiza mawaziri walioguswa na Ripoti ya cag watimuliwe.
Na ninyi c ni chama cha siasa ?? Andamaneni tuViongozi wetu bado wanalamba asali kwanza, ngoja wamalize ndo mtaujua mziki wetu. Pimpoz [emoji2935][emoji2935], pawa [emoji3577][emoji3577]
Nimesema subiri viongozi wetu wamalize kulamba asali. Usichoelewa hapo nini?Na ninyi c ni chama cha siasa ?? Andamaneni tu
chadema sio mashoga kama alivyowambia ccm mwenzenu masaburi kule bungeni nyie wapumbavu mashoga ya ccm mliojazana bungeni.Tunaandaa maandamano ya kumpongeza Mama, tutaelekea Kinondoni Biafra, au Mwembeyanga, hatutaki kuingilia shughuli za watu wengine za kujipatia kipato.
Nyie Chadema mtaandamana lini kwenda Tabora na Singida kurina asali?
cdm haina muda wa kupigania mapumbavu hasa ya ccm yanayojificha jf yaendelee kupigika tu maana mliipenda wenyewe.Maandamano ni HAKI ya kikatiba.
CDM cjui wamejificha wapi kuanzisha maandamano kushinikiza mawaziri walioguswa na Ripoti ya cag watimuliwe.
story za vijiweni, mlifikir maisha yatawapiga wapinzani tu pambaneni na lichama lenu la mafisadi ikibidi andamaneni na mamazenu huko ccm mumpinge mamayenu.Viongozi wetu bado wanalamba asali kwanza, ngoja wamalize ndo mtaujua mziki wetu. Pimpoz π€π€, pawa βοΈβοΈ
mliipenda wenyewe andamaneni na mamazenu kupinga lichama lenu la mafisadi.Nimesema subiri viongozi wetu wamalize kulamba asali. Usichoelewa hapo nini?
Kulamba asali ni fikra za wapumbavu wa chatto waliokuwa wanafurahia kuteswa kwa wapinzani, walipenda na mama awe kama shetani makomeo... nyie kama kweli vidume c muandamane ?? Kwn mpk wachadema wawepoNimesema subiri viongozi wetu wamalize kulamba asali. Usichoelewa hapo nini?
Amini usiamini, kuna watanzania ambao siyo kondoo.Ni vyema Jeshi la Polisi likampelekea Abdul Nondo na waandamanaji wenzake ambao wanaweza kufika kumi au ishirini, wito wamuhoji nia yake, na kisha wamuelekeze kwamba, kiusalama, ni vyema maandamano yake yakaishie Mwembeyanga au Ofisi za ACT Wazalendo, wakapokewe na Kiongozi wao mkuu. Hata Manzese, watasababisha usumbufu tu usio wa lazima
Jukumu la Jeshi la Polisi ni kuangalia pia muandamanaji anataka kupita wapi, na huko anakopita je, hatahatarisha Uhuru wa watu wengine. Polisi wanaweza kumsaidia Nondo kwa sababu bado ni mtoto mdogo, sijui kama ana miaka hata 15, ila tu jina lake ndio limfanye ajione ni nondo.
Juzi tumeona Kenya wenye katiba mpya pia walizuiwa kuingia katikati ya mji na kwenye makazi ya Rais
Kwani wewe kuandamana na mama yako umeshindwa nini?mliipenda wenyewe andamaneni na mamazenu kupinga lichama lenu la mafisadi.
Usidhani hii ni awamu ya tano, iliyokuwa imejaa dhuluma.Ni vyema Jeshi la Polisi likampelekea Abdul Nondo na waandamanaji wenzake ambao wanaweza kufika kumi au ishirini, wito wamuhoji nia yake, na kisha wamuelekeze kwamba, kiusalama, ni vyema maandamano yake yakaishie Mwembeyanga au Ofisi za ACT Wazalendo, wakapokewe na Kiongozi wao mkuu. Hata Manzese, watasababisha usumbufu tu usio wa lazima
Jukumu la Jeshi la Polisi ni kuangalia pia muandamanaji anataka kupita wapi, na huko anakopita je, hatahatarisha Uhuru wa watu wengine. Polisi wanaweza kumsaidia Nondo kwa sababu bado ni mtoto mdogo, sijui kama ana miaka hata 15, ila tu jina lake ndio limfanye ajione ni nondo.
Juzi tumeona Kenya wenye katiba mpya pia walizuiwa kuingia katikati ya mji na kwenye makazi ya Rais
ππππTunaandaa maandamano ya kumpongeza Mama
ππNyie Chadema mtaandamana lini kwenda Tabora na Singida kurina asali
Usitufundishe kazi! Ulisikia wapi kwamba Sisi polisi approach yetu iko hivyo?Ni vyema Jeshi la Polisi likampelekea Abdul Nondo na waandamanaji wenzake ambao wanaweza kufika kumi au ishirini, wito wamuhoji nia yake, na kisha wamuelekeze kwamba, kiusalama, ni vyema maandamano yake yakaishie Mwembeyanga au Ofisi za ACT Wazalendo, wakapokewe na Kiongozi wao mkuu. Hata Manzese, watasababisha usumbufu tu usio wa lazima
Jukumu la Jeshi la Polisi ni kuangalia pia muandamanaji anataka kupita wapi, na huko anakopita je, hatahatarisha Uhuru wa watu wengine. Polisi wanaweza kumsaidia Nondo kwa sababu bado ni mtoto mdogo, sijui kama ana miaka hata 15, ila tu jina lake ndio limfanye ajione ni nondo.
Juzi tumeona Kenya wenye katiba mpya pia walizuiwa kuingia katikati ya mji na kwenye makazi ya Rais
Acha roho mbaya Una V8 wewe?Ni vyema Jeshi la Polisi likampelekea Abdul Nondo na waandamanaji wenzake ambao wanaweza kufika kumi au ishirini, wito wamuhoji nia yake, na kisha wamuelekeze kwamba, kiusalama, ni vyema maandamano yake yakaishie Mwembeyanga au Ofisi za ACT Wazalendo, wakapokewe na Kiongozi wao mkuu. Hata Manzese, watasababisha usumbufu tu usio wa lazima