Jeshi la Polisi limuite Abdul Nondo na wenzake kwa mahojiano ili kujua nia yao ni nini, na mahala pa kuelekea katika maandamano ili wasivuruge amani

Maandamano ni HAKI ya kikatiba.

CDM cjui wamejificha wapi kuanzisha maandamano kushinikiza mawaziri walioguswa na Ripoti ya cag watimuliwe.
Kwn mpk Chadema wawepo ?? Andamaneni tu si mnaongoza serikali huko zenji?? Sasa kelele za nn ???
 
Tunaandaa maandamano ya kumpongeza Mama, tutaelekea Kinondoni Biafra, au Mwembeyanga, hatutaki kuingilia shughuli za watu wengine za kujipatia kipato.

Nyie Chadema mtaandamana lini kwenda Tabora na Singida kurina asali?
chadema sio mashoga kama alivyowambia ccm mwenzenu masaburi kule bungeni nyie wapumbavu mashoga ya ccm mliojazana bungeni.
 
Nimesema subiri viongozi wetu wamalize kulamba asali. Usichoelewa hapo nini?
Kulamba asali ni fikra za wapumbavu wa chatto waliokuwa wanafurahia kuteswa kwa wapinzani, walipenda na mama awe kama shetani makomeo... nyie kama kweli vidume c muandamane ?? Kwn mpk wachadema wawepo
 
Naamini mleta maada ni mwana CCM kindakindaki tena yawezekana dingi yako anarambishwa asali kwa ukuu wa mkoa mahali bwana Gaby
 
Ni vyema Jeshi la Polisi likampelekea Abdul Nondo na waandamanaji wenzake ambao wanaweza kufika kumi au ishirini, wito wamuhoji nia yake, na kisha wamuelekeze kwamba, kiusalama, ni vyema maandamano yake yakaishie Mwembeyanga au Ofisi za ACT Wazalendo, wakapokewe na Kiongozi wao mkuu. Hata Manzese, watasababisha usumbufu tu usio wa lazima

Jukumu la Jeshi la Polisi ni kuangalia pia muandamanaji anataka kupita wapi, na huko anakopita je, hatahatarisha Uhuru wa watu wengine. Polisi wanaweza kumsaidia Nondo kwa sababu bado ni mtoto mdogo, sijui kama ana miaka hata 15, ila tu jina lake ndio limfanye ajione ni nondo.

Juzi tumeona Kenya wenye katiba mpya pia walizuiwa kuingia katikati ya mji na kwenye makazi ya Rais
Amini usiamini, kuna watanzania ambao siyo kondoo.
 
Anaandamana ili iweje?
Hawa watoto hawajui km wako third world country wawe na mipaka. Wakipelekewa Moto tutaanza kuskia vilio tu hapa
 
Ni vyema Jeshi la Polisi likampelekea Abdul Nondo na waandamanaji wenzake ambao wanaweza kufika kumi au ishirini, wito wamuhoji nia yake, na kisha wamuelekeze kwamba, kiusalama, ni vyema maandamano yake yakaishie Mwembeyanga au Ofisi za ACT Wazalendo, wakapokewe na Kiongozi wao mkuu. Hata Manzese, watasababisha usumbufu tu usio wa lazima

Jukumu la Jeshi la Polisi ni kuangalia pia muandamanaji anataka kupita wapi, na huko anakopita je, hatahatarisha Uhuru wa watu wengine. Polisi wanaweza kumsaidia Nondo kwa sababu bado ni mtoto mdogo, sijui kama ana miaka hata 15, ila tu jina lake ndio limfanye ajione ni nondo.

Juzi tumeona Kenya wenye katiba mpya pia walizuiwa kuingia katikati ya mji na kwenye makazi ya Rais
Usidhani hii ni awamu ya tano, iliyokuwa imejaa dhuluma.
Hii ni awamu ya SITA.
 
Ni vyema Jeshi la Polisi likampelekea Abdul Nondo na waandamanaji wenzake ambao wanaweza kufika kumi au ishirini, wito wamuhoji nia yake, na kisha wamuelekeze kwamba, kiusalama, ni vyema maandamano yake yakaishie Mwembeyanga au Ofisi za ACT Wazalendo, wakapokewe na Kiongozi wao mkuu. Hata Manzese, watasababisha usumbufu tu usio wa lazima

Jukumu la Jeshi la Polisi ni kuangalia pia muandamanaji anataka kupita wapi, na huko anakopita je, hatahatarisha Uhuru wa watu wengine. Polisi wanaweza kumsaidia Nondo kwa sababu bado ni mtoto mdogo, sijui kama ana miaka hata 15, ila tu jina lake ndio limfanye ajione ni nondo.

Juzi tumeona Kenya wenye katiba mpya pia walizuiwa kuingia katikati ya mji na kwenye makazi ya Rais
Usitufundishe kazi! Ulisikia wapi kwamba Sisi polisi approach yetu iko hivyo?
 
Kuna maandamano tena!!

Siku hizi kuna taarifa zinanipita kando sana...
 
Ni vyema Jeshi la Polisi likampelekea Abdul Nondo na waandamanaji wenzake ambao wanaweza kufika kumi au ishirini, wito wamuhoji nia yake, na kisha wamuelekeze kwamba, kiusalama, ni vyema maandamano yake yakaishie Mwembeyanga au Ofisi za ACT Wazalendo, wakapokewe na Kiongozi wao mkuu. Hata Manzese, watasababisha usumbufu tu usio wa lazima

Jukumu la Jeshi la Polisi ni kuangalia pia muandamanaji anataka kupita wapi, na huko anakopita je, hatahatarisha Uhuru wa watu wengine. Polisi wanaweza kumsaidia Nondo kwa sababu bado ni mtoto mdogo, sijui kama ana miaka hata 15, ila tu jina lake ndio limfanye ajione ni nondo.

Juzi tumeona Kenya wenye katiba mpya pia walizuiwa kuingia katikati ya mji na kwenye makazi ya Rais
Acha roho mbaya Una V8 wewe?
 
Back
Top Bottom