Jeshi la Polisi: Madai ya Makonda kuuawa, kama yupo ‘siriasi’ aende Polisi

Paul Makonda anatafuta tu kiki
 
huyu si alishiriki mpango wote wa kumuua tundu lissu na kumpiga risasi 16 na ushee? Kumbe nae anaogopa kufa
 
Namna hiyo. Muosha kaoshwa!
Aende Tu polisi, mbona yeye. Alikuwa anawapeleka watu aliowatuhumu uhalifu huko polisi!?
Sasa iweje Leo awatuhumu aishie mitandaoni!
 
Unadhani wanakuja kukuuwa kwa kutumia masaburi?😁😁
LESBIANS BISEXUALS GAYS NI TAASISI HATARI NA INAMAFUNGU YA KUTOSHA. NI MKONO TENDAJI WA KISHETANI.
Umejuaje mtanzania mwenzangu?
 
Eti mashoga wanataka kumuua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi mashoga hata wawe mia wanaweza muua mtu kweli!! Au watamuua kwa kumchamba!!
Unafikiri mashoga ni hao wanaojilegeza pekee!
 
Makonda ni lazima apoteze imani na jeshi la polisi akiwa nje ya madaraka, maana anajua alipokuwa madarakani alilitumia hilo jeshi kuficha maovu yake. Kama aliweza kufanya mauaji na jeshi la polisi likakammkalia kimya, leo hii hana madaraka ataliamini vipi?
 
mwambieni kaka waliyokuwa wanampigia saluti wanamwita akaripoti kama walivyokuwa wakiripoti waliyotishiwa enzi hizo lakini wakawa na imani na polisi.Ila jesh la polisi nashauri lifanyiwe mabadiliko ya kinidhamu.Kuna tatizo
 
KAMANDA ACHENENI NA MSHAMBA HUYU, ANAFANYA BIASHARA ZA KIMTANDAO KWA KU- CREATE ISHU ILI APATE FOLLOWERS ALIPWE MAPESA NA MITANDAO
 
Umejuaje mtanzania mwenzangu?
Kama huwa unaangalia mpira utaona kabisa rainbow ambayo ni kiwakilishi cha nguvu yao ikitamba kwenye vitambaa vya ma captain... Bado wanapewa airtime kwenye cyomvo vya habari, jumuia za kimataifa na haki za binadamu. Usicho kijua labda hata padre mkuu wa kanisa lenu anasapoti ushoga.
 
Makonda siku hizi kawa kama Harmonize tu nae..Hamonize anampenda Kajala analia Instagram badala amfuate wakaombane msamaha huko na Makonda nae yaleyale anatishiwa anaenda Insta kulalamika Uhai wake upo hatarini kwanini asiende Polis kweli na ni mtu anafahamu procedures yule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…