Mkuu haujui unachoongea au hauwajui mashoga, labda umekariri, mashoga wapo jeshini , wapo serikalini, wapo mamilionea wakubwa wapo bungeni kila sehemu wapo ni watu wenye nguvu kubwa.
Sio mashoga hao unao waona wamejikatia tamaa na wamelegea kama mlenda, mashoga wa ukweli ukiambiwa uta bisha na hata ngumi utapigana mkuu, kwanza wana familia zao wengine six pack na wana mamlaka makubwa, ni mtandao hatari kama wauza madawa kwa hiyo wana uwezo mkubwa wa kumpoteza mtu au kuweka viongozi wao, acha upuuzi.