Jeshi la Polisi jijini Mbeya limewakamata watu watano akiwemo Meneja wa LBL Mbeya kwa kosa la kuendesha mchezo wa upatu bila kuwa na kibali kutoka Benki Kuu ya Tanzania kama sheria zinavyoelekeza.
Miongoni mwa waliokamatwa ni Gerald Masanja (31) Meneja wa kampuni ya LBL Mbeya, Safina Mwamwezi (23), Eda William (29), wengine ni Yohana Mkinda (29), Maklini sinkara (23)
"Uchunguzi wa awali umebaini kuwa kampuni ya LBL Mbeya Limited imekuwa ikikusanya fedha kwa kutumia mtandao kutoka kwa wananchi pasipo kufuata taratibu zozote za kisheria" - Wilbert Siwa, Kamanda wa Mbeya
Jeshi la Polisi jijini Mbeya limewakamata watu watano akiwemo Meneja wa LBL Mbeya kwa kosa la kuendesha mchezo wa upatu bila kuwa na kibali kutoka Benki Kuu ya Tanzania kama sheria zinavyoelekeza.
Miongoni mwa waliokamatwa ni Gerald Masanja (31) Meneja wa kampuni ya LBL Mbeya, Safina Mwamwezi (23), Eda William (29), wengine ni Yohana Mkinda (29), Maklini sinkara (23)
"Uchunguzi wa awali umebaini kuwa kampuni ya LBL Mbeya Limited imekuwa ikikusanya fedha kwa kutumia mtandao kutoka kwa wananchi pasipo kufuata taratibu zozote za kisheria" - Wilbert Siwa, Kamanda wa Mbeya View attachment 3242753