Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Konachonifurahisha ni wahusika kwenye group eti wanawambia hawataweza kutoa ela mpaka tarehe 25 eti uongozi wa lbl wanakuja kuzungumza na serikali na BOT na kwamba eti wenye kampuni za kutoa mikopo ndio wanawachongea kwa kuona wivu.Upatu
Si kweli. Fuatilia wana vibali vya shughuli ganiWaambie wawasiliane na Bank kuu Dar mbona kampuni Ina vibali na usajili
Walikutana na mimi Pesa X niliondoka na 200,000 yao.NANI ASIEJUA YALE MAKAMPUNI
KOPA PESA
MICROPESA
KIKIPESA
NK
YAMEIBIAAA WATU WEEEEE
TUKAANDIKA HUMU KILA SIKU BOT HAMUONI HAWA
MBONA MWISHO WANAANDIKA WAKASAJILIWE HAWANA RUHUSA
YAAN WANAFANYA WIZI WA MTANDAON MIAKA ZAIDI YA 3 UNASEMA LEO HII HAWANA VIBALI KWELI
NILISEMA SUBIRI KUNA NDUGUZAO WATALIZWA NDIO WAJUE UCHUNGU WA MAKAMPUNI YA MTANDAO
Watu tunawakataza wabishiii kama wamerogwqKonachonifurahisha ni wahusika kwenye group eti wanawambia hawataweza kutoa ela mpaka tarehe 25 eti uongozi wa lbl wanakuja kuzungumza na serikali na BOT na kwamba eti wenye kampuni za kutoa mikopo ndio wanawachongea kwa kuona wivu.
Sasa raia wanaamini kabisa hayo maelezo na waliyemtuma awaeleze hivi na eti team leader.
Raia wanaamini. Wa kwanza kula wa mwisho kuliwa sisi tunaingia mapema tunakula mapema.
Wajinga wengi wanaamini maisha Yana short cut acha wapigweSasa ulishawai Kuona wap Hilo jambo na vijana walikuwa hawafanyi kazi tena mungu alishasema tutakula kwa jasho na wanawake watazaa kwa uchungu hakuna short kati hapo ulaya watu wanafanya kazi masaa 24 maisha yangekuwa rahisi hivyo wasingekuwa wanafanya kazi
Mkuu iko hivi hizo kampuni wanapoenda kwenye mamlaka huwa wanaandika shughuli tofauti kisha wanakabidhiwa vibali vyote kwa usahihi kabisa ila wakishaenda kuanza kazi wanabadilisha shughuli na kufanya tofauti na vibali vyao vinavyosema,sasa kwa vile watanzania wengi hawana uelewa wa haya mambo wakikaribishwa ofisini wanaonyeshwa hayo makaratasi ya vibali kutoka kwenye mamlaka za serikali baada ya hapo wanalainika na kuamini kwa asilimia 100.Hivi serikali inashindwa kufuatilia hizi kampuni za ponzi na kufahamu mapema kabla ya watu kutapeliwa?
Wa kuwajibishwa ni hao waliotoa kibali, ponzi unaielewa mapema hata kwa akili za kuvukia barabara...
Waliosababisha watu kutapeliwa ni hizo mamlaka zilizotoa kibali, wananchi waliamini hio kampuni kwa sababu waliona ni legit na inatambulika...
Sasa hapo wamemkamata huyo tapeli akitoka ana mabilioni yake kwenye account anaendelea kula maisha..
Kiongozi hao jamaa wanajitangaza hadi kwenye mitandao ya kijamii, na habari zao zinaendea kwa kasi, ni uzembe tu unaofanyika, ikitokea hayo inabidi maofisa wanafika hayo maeneo na kufanya ukaguzi.Mkuu iko hivi hizo kampuni wanapoenda kwenye mamlaka huwa wanaandika shughuli tofauti kisha wanakabidhiwa vibali vyote kwa usahihi kabisa ila wakishaenda kuanza kazi wanabadilisha shughuli na kufanya tofauti na vibali vyao vinavyosema,sasa kwa vile watanzania wengi hawana uelewa wa haya mambo wakikaribishwa ofisini wanaonyeshwa hayo makaratasi ya vibali kutoka kwenye mamlaka za serikali baada ya hapo wanalainika na kuamini kwa asilimia 100.
Jukumu la kuilinda pesa yako ni la kwako mwenyewe,Serikali au polisi watajuaje kuwa umeibiwa?ni hadi pale utakapoenda kuripoti umeibiwa au kutapeliwa ndio wataanza kufanyia kazi
Ajabu!Kwan pana wananchi waliokwenda kulalamika kwamba wameibiwa?
Hao hawajaenda kwenye mamlaka husika kama wangeenda yasingetokea hayo sasa kama walienda walienda wap kama bioti ambao ndio wahusika wanasema hawawatambui huoni hapo Kuna shidaKiongozi hao jamaa wanajitangaza hadi kwenye mitandao ya kijamii, na habari zao zinaendea kwa kasi, ni uzembe tu unaofanyika, ikitokea hayo inabidi maofisa wanafika hayo maeneo na kufanya ukaguzi.
Hakuna biashara pale mkuu,,unachotakiwa kufanya ni kuweka 50,000 Hadi 540,000.Biashara ilikuwa inafanyikaje?
Mkuu hivi kenge ana masikio?Siku nyingi. Sasa hivi wanaotafuta huduma ya Serikali. Pamoja na Serikali kutoa onto kupitia Benki Kuu bado kuna watu ambao, kama kenge, hawataki kusikia Hadi hapo damu zikianza kuwatoka masikioni.
Anaweza akawa anaona tu figure,,kimbembe siku akitaka kutoa Sasa hiyo Hela yake ndio atajua hajuiAfu Kuna mwamba kama huyu Mil 54 ipo hewani
Kuna dogo nipo nae hapa kitaa ambae ni member wa LBL anakwambia kampuni ililetea na mama samia ili kuwapa ajira vijana,,anaamini Kila kitu wanachoambiwa kwenye groups zdoKonachonifurahisha ni wahusika kwenye group eti wanawambia hawataweza kutoa ela mpaka tarehe 25 eti uongozi wa lbl wanakuja kuzungumza na serikali na BOT na kwamba eti wenye kampuni za kutoa mikopo ndio wanawachongea kwa kuona wivu.
Sasa raia wanaamini kabisa hayo maelezo na waliyemtuma awaeleze hivi na eti team leader.
Raia wanaamini. Wa kwanza kula wa mwisho kuliwa sisi tunaingia mapema tunakula mapema.
Kalynder mpaka watu wanapigwa serikali haikuwahi kuingilia kabisa. Baada ya kupiga wakakusanyana wakaandamana mpaka kwa mkuu wa mkoa, wakaanza kulalamika, wakaenda kumtafuta peter kibatala eti awaisaidie kufungua kesi kudai tigo kwanini iliruhusu kuweka na kutoa pesa kalynda kupitia namba za mtandao wake. Nadhani hata kibatala aliwaona wajinga.Kwan pana wananchi waliokwenda kulalamika kwamba wameibiwa?