Jeshi la polisi Mbeya limewakamata watu watano kwa kuhusika na mchezo wa upatu wa LBL

Jeshi la polisi Mbeya limewakamata watu watano kwa kuhusika na mchezo wa upatu wa LBL

Meneja wa kampuni ya LBL Kanda ya mbeya amekamatwa juzi tareh 18/2/2025 baada ya polisi kuvamia ofisi za kampuni hiyo na kufanya upekuzi na kubaini kufanyika biashara ya upatu.

Poleni sana Wana mliowekeza ktk biashara hiyo
😄 wajinga waliwao
Watu hawakomi hawasiki 😄
Zitakuja zingine watajipigia tena

Ova
 
LBL vs FIC 🤔
 

Attachments

  • Screenshot_2025-02-20-17-12-24-205_com.instagram.lite.jpg
    Screenshot_2025-02-20-17-12-24-205_com.instagram.lite.jpg
    250.4 KB · Views: 3
  • Screenshot_2025-02-20-17-11-07-330_com.instagram.lite.jpg
    Screenshot_2025-02-20-17-11-07-330_com.instagram.lite.jpg
    239.8 KB · Views: 3
Hivyo vifupi ni vya shirika lipi sio kila mtu ataelewa mkuu fafanua.
 
Hao maafisa wanataka kuzi chota hela zao Kama walivozichota za DECI, kwa nini wasiwakamate makao makuu Dar, unakamata mbeya!!! Kuna aliyecheza anayelalamika kutapeliwa?
 
Waambie wawasiliane na Bank kuu Dar mbona kampuni Ina vibali na usajili
Vibali vp kama walikuwa na vibali bioti wasingewakamata hio benk ya dar ni ipi hao ni matapeli na mwisho wake wangeleta shida yaani ujiunge na laki Tano na 40 alafu kila siku unapolea 18 elfu na unapolea hio pesa kwa mda wa mwaka Moja
 
Vibali vp kama walikuwa na vibali bioti wasingewakamata hio benk ya dar ni ipi hao ni matapeli na mwisho wake wangeleta shida yaani ujiunge na laki Tano na 40 alafu kila siku unapolea 18 elfu na unapolea hio pesa kwa mda wa mwaka Moja
Baada ya mwezi hela yako imerudi
 
Baada ya mwezi hela yako imerudi
Sasa ulishawai Kuona wap Hilo jambo na vijana walikuwa hawafanyi kazi tena mungu alishasema tutakula kwa jasho na wanawake watazaa kwa uchungu hakuna short kati hapo ulaya watu wanafanya kazi masaa 24 maisha yangekuwa rahisi hivyo wasingekuwa wanafanya kazi
 
Ivi tayali watu walishalizwa au bado
Siku nyingi. Sasa hivi wanaotafuta huduma ya Serikali. Pamoja na Serikali kutoa onto kupitia Benki Kuu bado kuna watu ambao, kama kenge, hawataki kusikia Hadi hapo damu zikianza kuwatoka masikioni.
 
Nachukia Sana kusikia mambo Kama haya kutoka Kwa vijana ambao wanaamua kuwa matapeli
 
Back
Top Bottom