Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana huwa najiuliza baada ya hapo huwa wanaishi vipi na majirani au ndiyo yale wanaenda kumalizia maisha sehemu wasiko fahamika!Sijawahi kuona polisi mzee hata siku moja,wanazeeka walimu tu.
Makwao operation za kuudhi wanazikwepa kwenda...wanakwenda kuishi kwao.....
Duu jamani!!![emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Wengi wanakufa kwa njaa na stress baada ya muda mfupi sana , fanya uchunguzi
Wengi wanakufa sababu ya laana na malalamiko ya watu,rushwa wewe,uonevu wewe,kubambikia wewe n.k lazma ufe kabla ya kuzeeka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana huwa najiuliza baada ya hapo huwa wanaishi vipi na majirani au ndiyo yale wanaenda kumalizia maisha sehemu wasiko fahamika!
Kwanini iwe hivi? Mama akemee haraka sana huu upuuzi,kwan akiachwa akaweka hilo jiwe,ndo itakuwaje,MAMAAA KEMEAAA
Mkuu hivi kuna matapeli kuzidi CHADEMA duniani hapa?Majambazi yanaua na kupora mali za watanzania na polisi wapo tu!! Yaani wamewakazania CHADEMA kuliko hata matapeli wa mitandaoni.
Mama hapendi mambo ya dhuluma. Inawezekana mmekosa watu kwenye tukio lenu na ili kuepusha aibu mkaona muweke picha za mwaka 47 kudanganya! Acheni hizo!!Kazi imeanza turudi kule kule Misri hakuna namna
Ulipga wewe?HII NI PICHA YA UCHAGUZI WA 2015 UNATAKA KUTWAMBIA NINI KWA MFANO?
Mkuu walipiga CHADEMA wenyewe katika harakati zao za kuichafua nchi yetu na jeshi la polisi ndio maana wao hawaonekani kwenye hiyo picha. Mkuu ukiacha SELFIE kwani mpiga pocha hua anaonekana kwenye picha anayopiga? Uwe unaelewa.Ulipga wewe?
Polisi wa TZ ukiwaona eneo ambalo Chadema wapo huna sababu ya kuuliza nini kinaendelea.Unajua maana ya kuvamia lakini,kufika hapo wanapofanyia kikao imekuwa kuvamia
Wasifiaji awamu ya 6 poleniKazi imeanza turudi kule kule Misri hakuna namna
Huku ni kujidharirisha kwa jeshi la policePolisi pambaneni na majambazi. CHADEMA watapambana na wanasiasa wenzao kina Shaka na Chongolo.View attachment 1801320