Jeshi la Polisi Shinyanga lavamia eneo ambalo Mbowe alipanga kuweka jiwe la msingi wa ofisi ya CHADEMA

Jeshi la Polisi Shinyanga lavamia eneo ambalo Mbowe alipanga kuweka jiwe la msingi wa ofisi ya CHADEMA

Sheria mkononi tu ndio njia iliyobaki, Chadema wataendelea kuonewa mpaka mwisho wa dunia huku wakiendelea kujipa matumaini hewa iko siku CCM na polisi wao watabadilika, huu ni ujinga
 
Sijawahi kuona polisi mzee hata siku moja,wanazeeka walimu tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana huwa najiuliza baada ya hapo huwa wanaishi vipi na majirani au ndiyo yale wanaenda kumalizia maisha sehemu wasiko fahamika!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maana huwa najiuliza baada ya hapo huwa wanaishi vipi na majirani au ndiyo yale wanaenda kumalizia maisha sehemu wasiko fahamika!
Wengi wanakufa sababu ya laana na malalamiko ya watu,rushwa wewe,uonevu wewe,kubambikia wewe n.k lazma ufe kabla ya kuzeeka
 
Kwanini iwe hivi? Mama akemee haraka sana huu upuuzi,kwan akiachwa akaweka hilo jiwe,ndo itakuwaje,MAMAAA KEMEAAA
2.5718224285009833E18.jpg
 
Majambazi yanaua na kupora mali za watanzania na polisi wapo tu!! Yaani wamewakazania CHADEMA kuliko hata matapeli wa mitandaoni.
Mkuu hivi kuna matapeli kuzidi CHADEMA duniani hapa?
 
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh John Heche amesema polisi mkoani Shinyanga wamevamia eneo ambalo mwenyekiti Mbowe alikuwa aweke jiwe la msingi la ujenzi wa ofisi ya chama ya mkoa.

Heche amesema hii haikubaliki.

Mbowe yuko ziarani mkoani Shinyanga kwa ajili ya kufanya mikutano ya ndani.
 
Kazi imeanza turudi kule kule Misri hakuna namna
Mama hapendi mambo ya dhuluma. Inawezekana mmekosa watu kwenye tukio lenu na ili kuepusha aibu mkaona muweke picha za mwaka 47 kudanganya! Acheni hizo!!
 
Huyo ni mwekiti wa chama cha kisiasa sio kiongozi wa umma sasa kuanza kufanya mikusanyiko wakati saizi sio msimu wa kampeni za uchaguzi na utaratibu kwa sasa ni kufanya vikao vya ndani isipokuwa kwa viongozi wa kiserikali kwenye shughuli za kimaendeleo na si vinginevyo na polisi hawajampa kibali huyo jamaa hivyo wakikaa kimya ni kwamba wameshindwa kazi ya usimamizi wa sheria, muda mwingine vyama pinzani waache kumchokoza afande Siro kwamba atasema nini.
 
Ulipga wewe?
Mkuu walipiga CHADEMA wenyewe katika harakati zao za kuichafua nchi yetu na jeshi la polisi ndio maana wao hawaonekani kwenye hiyo picha. Mkuu ukiacha SELFIE kwani mpiga pocha hua anaonekana kwenye picha anayopiga? Uwe unaelewa.
 
Back
Top Bottom