Matatizo yanayotukabili wabongo ni matatu TU.
1. Chama cha kijani
2. Muungano
3. Katiba mbovu
Tukiyafuta haya matatu, nchi itafanana na Norway
 
Sasa ndo uanze kuelewa kwanini watu waliotoboa maisha wanasemwa kuwa wana roho mbaya ndo vitu kama hivi usababisha yeye kafanya fund raising , sasa ili wasionekane wamepoteza mvuto kwa jamii wanaenda kumpiga pini ishu wangemuacha hadi mwisho waone hiyo fedha iliyochangishwa itatolewa au itakuwaje then waanzie hapo.
Hii ni sawa na mchungaji awaombe waumini watoe walichonacho kisha akiwasilisha kwa waanga .Narudia tena tz unatakiwa uwe na roho ya kukunja tu ata kama umetoboa maisha
 
Wizi umeona kaiba!?

Ila tukubaliane ana nyota yake wengi hawana has hao wa wivu like...... Tuanze kwako pia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sina wivu
Uzuri hela za biashara wataangalia na efd yake inasemaje.mbona atafurahi
Ushamba unamsumbua
 
Sikujua kama kuna sheria hiyo.. Nimepata kitu.
 
Naona alivyo changisha tuu Resty kainuka juu vibaya mno..... sijui wana ttzo gani

Hapo mwanzo mbona Kuna siku Niffer alikuwa balozi wa la vista organic za huyo Resty ......
Wana vita imepitiliza ile msemo wa your competitor in business is your enemies ila kwa hawa imepitiliza inaonekana shangazi res anaona dogo ameandilia sana yaani kila level amempita ndo maana anamsagia kunguni kila kona ila dogo anapeta tu .
 
Ila jamani dada ana kiherehere yule πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ Yeye kutwa anatakaga tu kuprove kuwa yeye ndio anajua sana biashara, amebarikiwa sana, ana wateja na wafuasi sana yani tafrani tupu. Hadi faida anazotengeneza anakuja kuweka mtandaoni πŸ™„ Kama ni kuwin, awin in silence ila masifa ndio yanayomcost. Kuna kuinspire watu ila huku kwake ni kimbelefront aisee 😏
 
Yaani ameingia cha kike.maana hela zote atakazodai ni za kwake inatakiwa efd ioneshe
Kama hatoi risiti ni msala mwingine
 
Kwenye maafa kama haya siyo busara watu wachangishe bila kibali maalum. Huyu kwanza anaonyesha ni mjanja janja na anaweza kupiga hiyo michango.
 
Punguza wivu mbona ombaomba wanawachangisha kila siku mjini na mmechomekea midomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…