Jeshi la Polisi: Tunaonya Wanasiasa na Viongozi wa dini wanaopanga kwa siri kufanya vurugu

Jeshi la Polisi: Tunaonya Wanasiasa na Viongozi wa dini wanaopanga kwa siri kufanya vurugu

Viongozi wa dini? Yaani hii serikali ipo tayari kuanzisha vita ya kidini ili tu kulinda madaraka yake. Alafu cha ajabu maskini (polisi) wataenda kuua maskini wenzao majumbani ili kulinda matajiri yaendelee kuvuna rasilimali zetu.

Inashangaza sana
 
Mawazo yangu kwenye hii taarifa.

Usikute watekaji waliomteka Twaha Mwaipaya wamefuatilia chats zake wamebaini mawasiliano ya Twaha na viongozi hao.
 
Back
Top Bottom