I'm 100% sure kwamba,
Kitima, Kalikawe na Gwajiboy hawawezi kwamwe kukosekana kwenye mipango hiyo haramu ya kihalifu, ghasia na fujo nchini 🐒
Tanzania ni yetu sote na waliopewa dhamana ya umma kuiongoza wanafanya kazi kubwa na nzuri sana ya kuongoza nchi na kuwatumikia wananchi, regardless ya mihemko au makasiriko useless ya wasusia uchaguzi na wafuata mkumbo, ambao for sure they can do nothing at all, today and forever 🐒Kwanini mnadhani mna hati miliki ya Tanzania na watanzania?
Kila dalili inaonyesha mambo hayako hivyo. Mida inavyosonga mbele, mambo yanazidi kuwa tight.
Ndio maana wenye kudhani wana hati miliki wameamua kutumia nguvu kuzima mawazo mbadala, ambayo mengine ni mazuri kabisa
Tanzania ni yetu sote na waliopewa dhamana ya umma kuiongoza wanafanya kazi kubwa na nzuri sana ya kuongoza nchi na kuwatumikia wananchi, regardless ya mihemko au makasiriko useless ya wasusia uchaguzi na wafuata mkumbo, ambao for sure they can do nothing at all, today and forever 🐒
Hatua Kali kwa mujibu wa sheria siyo kweli. Zikoje hizo hatua kali ambazo ni za kisheria?Msemaji wa Jeshi la Polisi, DCP David Misime amesema Jeshi la Polisi linatoa onyo, kwa wanaojihusisha kwa namna moja ama nyingine katika vitendo hivyo vya uhalifu vyenye mwelekeo wa kufanya fujo na kuharibu mali kuacha kwani halitasita kuchukua hatua kali kwa mujibu wa sheria kwa yeyote atakayebainika kujihusisha na mipango hiyo ya kihalifu.
Gentleman,Kwanini mmejipa mamlaka ambayo hamna? Nani amewaambia mnatumiliki watanzania?
Mshashindwa....
Gentleman,
mamlaka ya nchi hii ni ya waTanzania wote na kila baada ya miaka mitano, katiba ya nchi yetu inatoa fursa kwa wananchi kukabidhi mamlaka ya nchi kwa chama cha siasa wanachokipenda, wanachokiamini na wanachokikubali.
Na kwenye uchaguzi mkuu wa Oct 2025, waTanzania wote waliipa ridhaa ya kuongoza nchi CCM kuwatumikia na kuwaletea maendeleo endelevu kwa kipindi cha miaka mitano hadi 2030.
Na kwa hali ya kisiasa ilivyo, ni wazi,
Oct 2030 CCM itapewa tena ridhaa ya kuongoza nchi na kuwatumikia waTanzania wote 🐒
Gentleman,Hamna hiyo mamlaka. Acheni kujipa umungu mtu. Mshafeli
Noma sanaMisa ya Wafu haijawahi kuwa vurugu