Jeshi la Polisi: Tunaonya Wanasiasa na Viongozi wa dini wanaopanga kwa siri kufanya vurugu

Msemaji wa Jeshi la Polisi, DCP David Misime amesema Jeshi la Polisi linatoa onyo, kwa wanaojihusisha kwa namna moja ama nyingine katika vitendo hivyo vya uhalifu vyenye mwelekeo wa kufanya fujo na kuharibu mali kuacha kwani halitasita kuchukua hatua kali kwa mujibu wa sheria kwa yeyote atakayebainika kujihusisha na mipango hiyo ya kihalifu.

Waufukweni ni msemaji mpya wa polisi.
 
Misa ya Wafu haijawahi kuwa vurugu
Kweli RC ni dude kubwa hii taarifa imeshazagaa nchi nzima mpaka vijijini ndani ndani
Nipo huku nyangw'ale ndani ndani Kuna bibi wa kisukuma ananiambia "alamis Kuna misa ya kuwaombea waliouwawa kwenye uchaguzi wa mwaka Jana"
Nimestuka kidogo huyu bibi Hana hata simu kapataje hizi habari
 
29/10/2026 ni mwendo wa kuchoma moto bandari zetu zote alizouziwa mwarabu maana hatuoni faida.pia mwendokasi,masoko yote nchi nzima,barabara kuu zote kufungwa,airpots zote moto,Gari zote za serikali maana zimenunuliwa kwa kodi zetu.Yaani hadi huyu dereva aachie usukani.Aluta continuaa...
 
Yesu akamjibu, “Nimesema na kila mtu daima hadharani. Kila mara nimefundisha katika masunagogi na hekaluni, mahali wanapokutana Wayahudi wote; na wala sijasema chochote kwa siri. YOHANA 18:20
 
Msemaji wa Jeshi la Polisi, DCP David Misime amesema Jeshi la Polisi linatoa onyo, kwa wanaojihusisha kwa namna moja ama nyingine katika vitendo hivyo vya uhalifu vyenye mwelekeo wa kufanya fujo na kuharibu mali kuacha kwani halitasita kuchukua hatua kali kwa mujibu wa sheria kwa yeyote atakayebainika kujihusisha na mipango hiyo ya kihalifu.

Duuh
 
wanasiasa sio kweli wanaweka mazingira ya kuwatafutia kesi na kuwafunga wapinzani bila ushahidi wowote. Hii ni ili wamfurahishe Samia na machawa wake ambao wanapenda kujidanganya hali halisi. Hakuna mtu anaweza kuandamana kama hakuna matatizo makubwa tatueni matatizo sio kutishia.
 
i wonder how come taasisi ya usalama wa nchi inasema imepewa taarifa za siri halafu inazimwaga hadharani wakati hakuna yeyote alikuwa tayari kwenye tuhuma...

inakuaje siri ikamwagwe hadharani na kazi yenu ni kulinda usalama?? sasa wananchi wanahakikishiwa vipi usalama kama chombo cha kuwalinda hakina siri na kuamua kuja na vitisho?

ujumbe unaotumwa hapo siyo huo unaousikia 😂 😂 ...
 
Msemaji wa Jeshi la Polisi, DCP David Misime amesema Jeshi la Polisi linatoa onyo, kwa wanaojihusisha kwa namna moja ama nyingine katika vitendo hivyo vya uhalifu vyenye mwelekeo wa kufanya fujo na kuharibu mali kuacha kwani halitasita kuchukua hatua kali kwa mujibu wa sheria kwa yeyote atakayebainika kujihusisha na mipango hiyo ya kihalifu.

Hawa watu wamekuwa waongo sana. wanata kutudanganya kama walivyotudanganya Elnino.

Kwani bajeti ya kupambana na hao watu wa dini wanaofanya vikao mnavyosema ni kiasi gani? Maana mambo mengine yanahusiana moja kwa moja na masuala ya ankara
 
i wonder how come taasisi ya usalama wa nchi inasema imepewa taarifa za siri halafu inazimwaga hadharani wakati hakuna yeyote alikuwa tayari kwenye tuhuma...

inakuaje siri ikamwagwe hadharani na kazi yenu ni kulinda usalama?? sasa wananchi wanahakikishiwa vipi usalama kama chombo cha kuwalinda hakina siri na kuamua kuja na vitisho?

ujumbe unaotumwa hapo siyo huo unaousikia 😂 😂 ...

Ujumbe ni kama ule wa Elnino...tunataka kujua budget ya hizo taarifa za siri ni kiasi gani.... 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Wakimkamata viongozi wa dini ...booom!
Kitanuka mbaya.
Hiyo ngoma itamuondoa mkoloni mweusi.
 
Kuna mambo yanachekesha sana...siku hizo tumesahau kazi za maendeleo.

Ni kuhangaika na mambo ya kufikirika. Mara Elnino. Mara watu wasisali wanapanga fujo.....what next?
 
Msemaji wa Jeshi la Polisi, DCP David Misime amesema Jeshi la Polisi linatoa onyo, kwa wanaojihusisha kwa namna moja ama nyingine katika vitendo hivyo vya uhalifu vyenye mwelekeo wa kufanya fujo na kuharibu mali kuacha kwani halitasita kuchukua hatua kali kwa mujibu wa sheria kwa yeyote atakayebainika kujihusisha na mipango hiyo ya kihalifu.

Mali za chama cha majambazi
 
Back
Top Bottom