🤣🤣🤣🤣Kule huambiwi toa hela mzee, kule ni figisu ndo zitaendelea mpaka utaona utoe hela ili tu utoke!!!Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo amepiga marufuku tabia ya baadhi ya Askari kuomba rushwa pale ambapo Mtuhumiwa anapokamatwa na kupewa dhamana na Ndugu zake kwa kumtaka atoe chochote katika Vituo vya Polisi.
a Wananchi kutoa taarifa mapema kwa atakayeendelea kufanya hivyo.
Shida ya polisi bana hakwambiii utoe helaaKamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo amepiga marufuku tabia ya baadhi ya Askari kuomba rushwa pale ambapo Mtuhumiwa anapokamatwa na kupewa dhamana na Ndugu zake kwa kumtaka atoe chochote katika Vituo vya
Baadhi ya wananchi ukute walikua wanapiga hadi makofi,utadhani walikua Marekani,wamerudi jana,hawajui tabia zilizopo kwa baadhi ya askari.🤣🤣🤣🤣Kule huambiwi toa hela mzee, kule ni figisu ndo zitaendelea mpaka utaona utoe hela ili tu utoke!!!
Watanzania kwan huwajui wataambiwa.. watanzania nyie ni wapumbavu kbs na watapiga makofi balaa 🤣🤣🤣🤣Baadhi ya wananchi ukute walikua wanapiga hadi makofi,utadhani walikua Marekani,wamerudi jana,hawajui tabia zilizopo kwa baadhi ya askari.
Hata wakitoka mbinguni kwa msoto huu wa maisha lazima watalamba tuRPC, labda waje Polisi wengine kutoka mbinguni lakini sio hawa wa Tz!