Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Polisi wengi zaidi ni BBC(Born Before Computer), kwa sababu hiyo hata wakiongeza muda itakuwa ni kazi bure.Polisi CCM hawana IT ni wahuniiiiii tu
Watakuja kuongeza mwezi mzimaAkili ndogo inaongoza akili kubwa sasa suluhisho ni kuongeza muda au kutatua changamoto ya portal yao
SHAME ON TPF
Sio kwamba wanafanya strategically wapate applicants wachache? Sasa wamejikuta wamepata wachache zaidiPolisi wengi zaidi ni BBC(Born Before Computer), kwa sababu hiyo hata wakiongeza muda itakuwa ni kazi bure.
Uko tayari kufunua kitabu.Naomba kuona tangazo la mwanzo kuhusu hii kazi ya u polisi.
Mkongo wa mawasiliano ulipopata changamoto majuzi haukupata taarifa?Sio kwamba wanafanya strategically wapate applicants wachache? Sasa wamejikuta wamepata wachache zaidi
Lipo humu humu ndani Ndugu yanguNaomba kuona tangazo la mwanzo kuhusu hii kazi ya u polisi.
Haya wameongeza muda tafadhaliMkongo wa mawasiliano ulipopata changamoto majuzi haukupata taarifa?
Kwanini tu usinyoe mkuu ili kusiwe na sababu yeyote..[emoji16][emoji1787][emoji2]Nduguzangu, hivi kuna shida yoyote endapo utatuma passport size ukiwa na ndevu?
Sent using Jamii Forums mobile app
nadhan hakuna shida ata ukienda kwenye interview na ndevu we we bando sio askari vp ukiona af ukakosaNduguzangu, hivi kuna shida yoyote endapo utatuma passport size ukiwa na ndevu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa ikiingia majeshini ni hatari sanaWatakuja kuongeza mwezi mzima
Mkuu nimeupload nakuja angalia kumbe nina tundevu kwakidevu na nimeshatuma tayariKwanini tu usinyoe mkuu ili kusiwe na sababu yeyote..[emoji16][emoji1787][emoji2]