The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
Yaani ni vituko.Naomba kuona tangazo la mwanzo kuhusu hii kazi ya u polisi.
Tangazo la kwanza ni www.polisi.go.tz
Sasahivi ni ajira.tpf.go.tz
Lakini kuna link watu wanatuma maombi imeandikwa hivi ajira2.tpf.go.tz na wao sasahiv wanasema maombi yote yatumwe kwenye ajira.tpf.go.tz
Siwakatishi Tamaa ila kuna michezo inaendelea na watu wengi hawajafanya maombi kama wanavyojiaminisha.