The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
Yaani ni vituko.Naomba kuona tangazo la mwanzo kuhusu hii kazi ya u polisi.
Kumbe huwezi kunyoa ukiwa umeshapost?Mkuu nimeupload nakuja angalia kumbe nina tundevu kwakidevu na nimeshatuma tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda ni kweli, pengine wameona Vijana wengi Wana akili sasaYaani ni vituko.
Tangazo la kwanza ni www.polisi.go.tz
Sasahivi ni ajira.tpf.go.tz
Lakini kuna link watu wanatuma maombi imeandikwa hivi ajira2.tpf.go.tz na wao sasahiv wanasema maombi yote yatumwe kwenye ajira.tpf.go.tz
Siwakatishi Tamaa ila kuna michezo inaendelea na watu wengi hawajafanya maombi kama wanavyojiaminisha.
Sizani kama kuna shida cha msingi tu kwenye interview labda ndo ingekuwa kidogo sio nzuriMkuu nimeupload nakuja angalia kumbe nina tundevu kwakidevu na nimeshatuma tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nina ndevu na dred na nimeupload ivo ivoMkuu nimeupload nakuja angalia kumbe nina tundevu kwakidevu na nimeshatuma tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiogope, hawanaga umakini huo, watakupachika Tu popote Ndugu yangu, utarudi hapa utaniambiaMsaada wakuu ....
Nimefanya Kila kitu ila nikakosea kwenye selection ya kozi ya dogo ( ufundi huu wengine hatuna ABC nao so nimekosea Nikaselect tofauti kidogo na kinachohitajika .....ikawa imeenda .....
Kuwapigia Ili nipate kufuta Ile selection ... wananiambia ndo umekosea tayari masharti ya ajira so umekosa tayari ....
Yaani nimeishiwa nguvu tu hapa ......🙌🙌
Mungu atutangulie kwakweli maana dogo amekata tamaa kabisa na hata nafikiri pengine haijapangwa iwe labda ....maana nimefanya blunder dakika za jioooooooooni .....dahUsiogope, hawanaga umakini huo, watakupachika Tu popote Ndugu yangu, utarudi hapa utaniambia
Mungu atutangulie kwakweli maana dogo amekata tamaa kabisa na hata nafikiri pengine haijapangwa iwe labda ....maana nimefanya blunder dakika za jioooooooooni .....dah
Wasiojua makali ya kikotoo wanatafutwa Ili waipitishe 2025 salama!nimewaelewa sana!Vijana endeleeni kuomba KAZI, nawaombea Mungu wangu awape kibali wote wenye uhitaji mfanikiwe.
View attachment 2996339
Pia soam: Tangazo la ajira kutoka Jeshi la Polisi Tanzania Aprili, 2024
walisema ukiselect ajira ndiyo umeselect.Msaada wakuu ....
Nimefanya Kila kitu ila nikakosea kwenye selection ya kozi ya dogo ( ufundi huu wengine hatuna ABC nao so nimekosea Nikaselect tofauti kidogo na kinachohitajika .....ikawa imeenda .....
Kuwapigia Ili nipate kufuta Ile selection ... wananiambia ndo umekosea tayari masharti ya ajira so umekosa tayari ....
Yaani nimeishiwa nguvu tu hapa ......🙌🙌
Anhaa hapo sawa mkuuSizani kama kuna shida cha msingi tu kwenye interview labda ndo ingekuwa kidogo sio nzuri
Mkuu acha utani basi[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nina ndevu na dred na nimeupload ivo ivo
Hadi wenye GPA YA 2 Watachukuliwa kweli maana mfumo umeweka 3 or above.Hapo hamna tatizo hizo ajira ni nyingi Sana hawezi kukosa nafasi
Hadi wenye GPA YA 2 Watachukuliwa kweli maana mfumo umeweka 3 or above.
Wasiojua makali ya kikotoo wanatafutwa Ili waipitishe 2025 salama!nimewaelewa sana!
Big up kitengo Cha negative intelligence ndani ya system!
Ndio, ila zingatia na umri walioweka kwa level ya form VI kama unakuruhusu.Wale ambao wana degree na course zao hazijatajwa pale sasa hapo unaomba kama form VI au