Jeshi la Polisi wameongeza muda wa kuomba kazi hadi 26.05.2024

Kuna dogo amemaliza safari hii kidato cha nne najaribu kuomba kwa kutumia leaving ila sehemu ya mwisho ya kuapload barua inakuja in fade nyekundu FAILED TO PROCESS APPLICATION. kwa mwenye kujua specific problem ni nni
 
Sasa kweli man unaombaje na living certificate kweli huyo asubirie akipata cheti
 
Miaka ya nyuma ilikuwaga wanawahold kuanzia kabla mpaka baada ya uchaguzi.
 
Msaada kwenye ku upload cv na kwenye kuadd elimu ya bachelor. Kuna dogo namsaidia hapa naona bado ina error. Wenzetu mmewezaje?
 
Log in kwa account zenyu washaanza kufanya maajabu huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…