Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Asante, sasa tutawaua sanaNdugu zangu Watanzania,
Embu Someni Habari hii muongeze Ufahamu kidogo.
👉Jeshi la Polisi mkoani Geita limewataka wananchi kutokubali kukamatwa na mtu yeyote anayedai kuwa askari polisi bila kuonyesha kitambulisho na kueleza kituo gani alichotokea.
Kamanda wa Polisi humo, Safia Jongo ametoa kauli hiyo Aprili 8, 2025 wakati wa mafunzo ya ulinzi shirikishi na polisi jamii, yaliyotolewa kwa watendaji wa kata, vijiji, mitaa, wenye viti na maofisa tarafa, yaliyoandaliwa na Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na mgodi wa dhahabu wa Geita (GGML) kwa lengo la kuimarisha usalama wa wananchi kupitia ushirikiano wa karibu.
Amesema kumekuwa na matukio ya utekaji, yanayodaiwa kufanywa na watu waliovaa sare za polisi, wakiwa kwenye magari yanayodaiwa kuwa ya Serikali, lakini hawatoi uthibitisho wowote kwa wananchi jambo linalotia hofu na kuathiri imani kwa vyombo vya dola.
“Askari wa kweli anapokwenda kukamata mtu lazima ajitambulishe kwa jina, awe na kitambulisho cha kazi na aseme anatoka kituo gani. Kama hana hivyo, huyo si askari ni mtu wa kawaida ambaye anaweza kuwa jambazi au mhalifu,” amesema Safia.View attachment 3297723
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hiyo ni taarifa ya kuwaelimisha watanzania wasiojua jambo hilo.Kwani hii sheria ni mpya au ilikuwepo na kama ilikuwepo nini kimetusibu kama taifa
Kwa sheria ipi? Jaribu uue uone cha Mtema kuni. Ni marufuku kujichukulia sheria mkononiAsante, sasa tutawaua sana
Embu fika kwanza kwenye hicho kituo cha polisi unachokisema ili ukawaambie hayo maelezo yako.Soka yuko wapi kunguni wa mama??
Mara ya mwisho alipigiwa simu akachukue pikipiki yake kituo cha polisi Chang'ombe na hakuwahi kuonekana hadi leo.
Huyo mama unayesema amewafikia mamilioni mbona hajaifikia familia ya Soka na kuwapatia suluhu?
Pumbavu wakati wanakulazimisha kukukamata pasi na kuonesha kitambulisho?Kwa sheria ipi? Jaribu uue uone cha Mtema kuni. Ni marufuku kujichukulia sheria mkononi
Kikubwa ni kutii sheria bila shuruti na kuwa raia Mwema tu😄😄.Ngoja waje sasa ndo utaelewa uwaombe kitambulisho au wewe ndo ujitambulishe...🤣
Mwashambwa bwana, kwani hao wakamataji wanajituma wenyewe au wanatumwa na kupewa maelekezo kutoka juu.Hiyo ni taarifa ya kuwaelimisha watanzania wasiojua jambo hilo.
😄😄Usijali maana polisi wetu ni waungwana sana na watajitambulisha wakija kukukamata. Watakuwa wanapiga hadi na stori na wewe hadi utafurahi Mwenyewe hata kama ulikuwa na mawazo utajikuta umepata amaniPumbavu wakati wanakulazimisha kukukamata pasi na kuonesha kitambulisho?
Mm sio mpumbavu kama wewe😄😄Usijali maana polisi wetu ni waungwana sana na watajitambulisha wakija kukukamata. Watakuwa wanapiga hadi na stori na wewe hadi utafurahi Mwenyewe hata kama ulikuwa na mawazo utajikuta umepata amani
Wewe unajielewa kweli?Embu fika kwanza kwenye hicho kituo cha polisi unachokisema ili ukawaambie hayo maelezo yako.
Wala usiogope.hata ukiwa umechelewa magari usiku waweza kuomba rift kwenye gari la polisi na ukasaidiwa kusogezwa mbeleMwashambwa bwana, kwani hao wakamataji wanajituma wenyewe au wanatumwa na kupewa maelekezo kutoka juu.
Mbona mnatufanya mabwege sana!
Usicheze na mfumo na siokwamba hawaijui sheria wanaijua A to Z but ..............
Polisi wetu hawana tatizo lolote lile.Mm sio mpumbavu kama wewe
Wewe si una ushahidi wa maneno yako? Sasa unaogopa nini ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa mawazo kufika kituo cha polisi. Halafu CHADEMA hamuaminiki maana majuzi tu hapa mlimpiga mangumi na mateke yule mwenezi wa BAWACHA. Angekufa mngesingizia kauwawa na watu wasio julikana.Wewe unajielewa kweli?
Unajua kusoma kwa ufahamu?
Soma nilichoandika tena ndio ujibu.
Wala msiogope kuomba kitambulisho kwa askari wetu. Maana askari wetu ni weledi sana na wenye kuzingatia sheria, kanuni na miongozo ya jeshi la polisiKuna mtu litamkuta jambo wakati wa kudai kitambulisho
Soka ameitwa kituo cha polisi na hadi leo hajawahi kuonekana halafu unauliza ushahidi kutoka kwangu?Wewe si una ushahidi wa maneno yako? Sasa unaogopa nini ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa mawazo kufika kituo cha polisi. Halafu CHADEMA hamuaminiki maana majuzi tu hapa mlimpiga mangumi na mateke yule mwenezi wa BAWACHA. Angekufa mngesingizia kauwawa na watu wasio julikana.