Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
- #41
Asipokuonyesha ujue huyo siyo polisiAsipokuonyesha? We ulishawahi kamatwa kweli?
Asipokuonyesha ujue huyo siyo polisiAsipokuonyesha? We ulishawahi kamatwa kweli?
Uchawa huharibu senses karibu zote!Serikali yetu inaheshimu sana haki za binadamu
Huna akili nakupuuzaAsipokuonyesha ujue huyo siyo polisi
Mimi siyo chawaUchawa huharibu senses karibu zote!
Ndio walishafikishwa. Naona unaishi nje ya hii sayari na ndio maana hujui kitu na upo gizani.Huna akili nakupuuza
Wale waliokuwa wanamteka bonge kwa kumfosi kwenye gari wamefikishwa mahakamani.
Alaf baada ya kufikishwa biashara imeishia hapo wataachiwa kimya kimyaNdio walishafilishwa. Naona unaishi nje ya hii sayari na ndio maana hujui kitu na upo gizani.
Acha kuhamisha magoli hapa . Wewe si ulikuwa unasema hawajakamatwa?Alaf baada ya kufikishwa biashara imeishia hapo wataachiwa kimya kimya
Hata wakikamatwa wataachiwa kimya kimyaAcha kuhamisha magoli hapa . Wewe si ulikuwa unasema hawajakamatwa?