Jeshi la Polisi: Watu 130 wakamatwa kwa tuhuma za mipango ya kuchoma shule na kuua viongozi

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Jeshi la Polisi nchini limetangaza kuwatia mbaroni jumla ya watuhumiwa 130 katika mikoa mbalimbali kwa tuhuma za kupanga na kuhamasisha vitendo vya kihalifu nchini ambapo watuhumiwa hao wanadaiwa kutumia vikao vya ndani na mitandao ya kijamii kuratibu mikakati ya kuvuruga amani na usalama wa taifa kati ya mwezi Juni na Julai mwaka huu.

Akizungumza kuhusu uzito wa njama hizo, Msemaji wa Jeshi la Polisi, DCP David Misime, amefichua mipango ya hatari iliyokuwa imeandaliwa na wahalifu hao akisema kuwa vitendo hivyo vya kihalifu vilikuwa ni pamoja na kupanga, kutamka, kuandaa na kusambaza taarifa za uchochezi, kuhamasisha watu kushiriki katika vitendo vya kihalifu vikiwepo kuua baadhi ya viongozi na wananchi.

"Walikuwa pia wamepanga na kuratibu kuchoma shule mbalimbali, kulipua transforma za umeme ili nchi iwe gizani, kuharibu na kupora mali za umma na za watu binafsi sambamba na kuua askari wa vyombo vya ulinzi na usalama ili kupora silaha”, ameeleza.

Pia soma: Polisi Tanzania wanadai Waandamanaji sasa Wanapanga kuua Viongozi, wameshaanza kuwakamata

Walikuwa pia wamepanga na kuratibu kuchoma shule mbalimbali, kulipua transforma za umeme ili nchi iwe gizani, kuharibu na kupora mali za umma na za watu binafsi sambamba na kuua askari wa vyombo vya ulinzi na usalama ili kupora silaha”
Hivi unathibitisha vipi kuwa huyu mtu AMEPANGA kufanya jambo fulani? Maana naona kuna chance ya kusingiziwa watu wengi kwenye hili.

Sijaona mahali anasema wamekamata hata Bomu, Viberiti, Panga, Bunduki, Bastola, Rungu, Visu n.k ambavyo vina ashiria May be walikuwa wamepanga kuchoma sheli.

Tanzania bila rushwa, haiwezekani.
 
Huu ni uonezi tuuu,ila ipo siku yatakwisha!

Yatakwisha vip wkt Michadema ipo nyuma ya mipango mingi miovu!!!

Mkitaka kuwa raia wema mbona inawezekana 👈 tatizo makundi ya wana alakati wapo kigaidi gaid kwasasa!!

Lkn watajifunga goli wenyewe muda ndio Mwalimu!

Kule Kibti wamenyooka bado Michadema!!

Wakijichanganya❗️

Watakikimbia chama chao na kukikana hadharani👈

nimekaaa pale na mwajuma wangu☠️☠️
 
Sawa we punguani tumekusikia.
 
Hakuna MTU amekamatwa huu ni uzushi Tu wa polisi ili ionekane kuwa kuna watu walikuwa wanaandaa maandamano mtaani.
Polisi inatengeneza picha Kwa mataifa kuwa Tanzania kuna kikundi cha waasi wenye Nia ovu Kwa serikali kitu ambacho ni uongo.....hakuna MTU amekamatwa Tanzania nzima kwenye siku ya 07/07
 
Linapofika suala la kuwapata watekaji ndii wanapochora mstari wa kazi yao ya gizani.
downloadfile-542.jpg
downloadfile-582.jpg
 
Jeshi la Polisi nchini limetangaza kuwatia mbaroni jumla ya watuhumiwa 130 katika mikoa mbalimbali kwa tuhuma za kupanga na kuhamasisha vitendo vya kihalifu nchini ambapo watuhumiwa hao wanadaiwa kutumia vikao vya ndani na mitandao ya kijamii kuratibu mikakati ya kuvuruga amani na usalama wa taifa kati ya mwezi Juni na Julai mwaka huu.

Akizungumza kuhusu uzito wa njama hizo, Msemaji wa Jeshi la Polisi, DCP David Misime, amefichua mipango ya hatari iliyokuwa imeandaliwa na wahalifu hao akisema kuwa vitendo hivyo vya kihalifu vilikuwa ni pamoja na kupanga, kutamka, kuandaa na kusambaza taarifa za uchochezi, kuhamasisha watu kushiriki katika vitendo vya kihalifu vikiwepo kuua baadhi ya viongozi na wananchi.

"Walikuwa pia wamepanga na kuratibu kuchoma shule mbalimbali, kulipua transforma za umeme ili nchi iwe gizani, kuharibu na kupora mali za umma na za watu binafsi sambamba na kuua askari wa vyombo vya ulinzi na usalama ili kupora silaha”, ameeleza.

Pia soma: Polisi Tanzania wanadai Waandamanaji sasa Wanapanga kuua Viongozi, wameshaanza kuwakamata

Sasa, hv ni mwendo wa upuuzi tu, kutoka kila Kona, kuanzia, ikulu mpaka katani!
Kuna siku watasema "kadhaa wakamatwa walipanga kuvamia ikulu kumbaka Rais"
Ukiangalia hizi, tuhuma ni kama zile alizopewa More kipindi kile,hapo, hapo lengo unyimwe dhamana ukomolewe, kama intelijensia yenu IPO makini,tuambieni alipo mdude, tajeni waliompiga risasi Lisu!
Kenge kabisa,
 
Sheikh Mwaipopo alipo anachekea chooni.

Sheikhe Mwaipopo hajawahi kutangaza kufanya fujo👈

au maandamano yoyote 👈

Na kubwa zaidi hakuna
mpakasasa
Mtu yoyote kaguswa popote na Ustadh Mwaipopo 👈

SHEIKH kasema yupo tayali kusaidia kutunza Amani yetu kwa wote wakazi wajiji letu 👈

SHEIKH hakusema hatawalinda Waislam tu👈

hapana
kasema wapo tayali kusaidia kutunza Amani ya wote
wakazi wa jiji👈

SHEIKH anajua wapo Cristian wengi wapenda Amani👈

SHEIKH anajau wapo Cristian wengine sio tu kupenda Amani wenyewe ni wanaCCM
Damu Damu vibaya mno👈

Wakazi wa jiji hawana lalamiko lolote kwake 👈

SHEIKH yupo kwenye kujenga👈

Sio kuharibu Amani yetu👈

kosa lake lipo wapi???
 
Jeshi la Polisi nchini limetangaza kuwatia mbaroni jumla ya watuhumiwa 130 katika mikoa mbalimbali kwa tuhuma za kupanga na kuhamasisha vitendo vya kihalifu nchini ambapo watuhumiwa hao wanadaiwa kutumia vikao vya ndani na mitandao ya kijamii kuratibu mikakati ya kuvuruga amani na usalama wa taifa kati ya mwezi Juni na Julai mwaka huu.

Akizungumza kuhusu uzito wa njama hizo, Msemaji wa Jeshi la Polisi, DCP David Misime, amefichua mipango ya hatari iliyokuwa imeandaliwa na wahalifu hao akisema kuwa vitendo hivyo vya kihalifu vilikuwa ni pamoja na kupanga, kutamka, kuandaa na kusambaza taarifa za uchochezi, kuhamasisha watu kushiriki katika vitendo vya kihalifu vikiwepo kuua baadhi ya viongozi na wananchi.

"Walikuwa pia wamepanga na kuratibu kuchoma shule mbalimbali, kulipua transforma za umeme ili nchi iwe gizani, kuharibu na kupora mali za umma na za watu binafsi sambamba na kuua askari wa vyombo vya ulinzi na usalama ili kupora silaha”, ameeleza.

Pia soma: Polisi Tanzania wanadai Waandamanaji sasa Wanapanga kuua Viongozi, wameshaanza kuwakamata

Jeshi la mijitu miongo duniani
 
Hivi unathibitisha vipi kuwa huyu mtu AMEPANGA kufanya jambo fulani? Maana naona kuna chance ya kusingiziwa watu wengi kwenye hili.

Sijaona mahali anasema wamekamata hata Bomu, Viberiti, Panga, Bunduki, Bastola, Rungu, Visu n.k ambavyo vina ashiria May be walikuwa wamepanga kuchoma sheli.

Tanzania bila rushwa, haiwezekani.
Hapa kuna watu wanatafutwa kupachikwa kesi za kina mbowe kipindi kile......UGAIDI. Na hii mbinu huwa ni ya Mwigulu ndiye huwa anatoka haya makamasi, ndo maana alianza kuzunguka kuwaandaa watanganyika kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom