Hivi unathibitisha vipi kuwa huyu mtu AMEPANGA kufanya jambo fulani? Maana naona kuna chance ya kusingiziwa watu wengi kwenye hili.Walikuwa pia wamepanga na kuratibu kuchoma shule mbalimbali, kulipua transforma za umeme ili nchi iwe gizani, kuharibu na kupora mali za umma na za watu binafsi sambamba na kuua askari wa vyombo vya ulinzi na usalama ili kupora silaha”
Nyie waonee watu kuna siku mtalipa.
Unaweza kuwa mpita njia wakapita na wewe na ukapewa kesi bongo siiamini
Jeshi la Polisi nchini limetangaza kuwatia mbaroni jumla ya watuhumiwa 130 katika mikoa mbalimbali kwa tuhuma za kupanga na kuhamasisha vitendo vya kihalifu nchini ambapo watuhumiwa hao wanadaiwa kutumia vikao vya ndani na mitan
Pia soma: Polisi Tanzania wanadai Waandamanaji sasa Wanapanga kuua Viongozi, wameshaanza kuwakamata
Huu ni uonezi tuuu,ila ipo siku yatakwisha!
Sawa we punguani tumekusikia.Yatakwisha vip wkt Michadema ipo nyuma ya mipango mingi miovu!!!
Mkitaka kuwa raia wema mbona inawezekana 👈 tatizo makundi ya wana alakati wapo kigaidi gaid kwasasa!!
Lkn watajifunga goli wenyewe muda ndio Mwalimu!
Kule Kibti wamenyooka bado Michadema!!
Wakijichanganya❗️
Watakikimbia chama chao na kukikana hadharani👈
nimekaaa pale na mwajuma wangu☠️☠️
Sasa, hv ni mwendo wa upuuzi tu, kutoka kila Kona, kuanzia, ikulu mpaka katani!Jeshi la Polisi nchini limetangaza kuwatia mbaroni jumla ya watuhumiwa 130 katika mikoa mbalimbali kwa tuhuma za kupanga na kuhamasisha vitendo vya kihalifu nchini ambapo watuhumiwa hao wanadaiwa kutumia vikao vya ndani na mitandao ya kijamii kuratibu mikakati ya kuvuruga amani na usalama wa taifa kati ya mwezi Juni na Julai mwaka huu.
Akizungumza kuhusu uzito wa njama hizo, Msemaji wa Jeshi la Polisi, DCP David Misime, amefichua mipango ya hatari iliyokuwa imeandaliwa na wahalifu hao akisema kuwa vitendo hivyo vya kihalifu vilikuwa ni pamoja na kupanga, kutamka, kuandaa na kusambaza taarifa za uchochezi, kuhamasisha watu kushiriki katika vitendo vya kihalifu vikiwepo kuua baadhi ya viongozi na wananchi.
"Walikuwa pia wamepanga na kuratibu kuchoma shule mbalimbali, kulipua transforma za umeme ili nchi iwe gizani, kuharibu na kupora mali za umma na za watu binafsi sambamba na kuua askari wa vyombo vya ulinzi na usalama ili kupora silaha”, ameeleza.
Pia soma: Polisi Tanzania wanadai Waandamanaji sasa Wanapanga kuua Viongozi, wameshaanza kuwakamata
Sheikh Mwaipopo alipo anachekea chooni.
Jeshi la mijitu miongo dunianiJeshi la Polisi nchini limetangaza kuwatia mbaroni jumla ya watuhumiwa 130 katika mikoa mbalimbali kwa tuhuma za kupanga na kuhamasisha vitendo vya kihalifu nchini ambapo watuhumiwa hao wanadaiwa kutumia vikao vya ndani na mitandao ya kijamii kuratibu mikakati ya kuvuruga amani na usalama wa taifa kati ya mwezi Juni na Julai mwaka huu.
Akizungumza kuhusu uzito wa njama hizo, Msemaji wa Jeshi la Polisi, DCP David Misime, amefichua mipango ya hatari iliyokuwa imeandaliwa na wahalifu hao akisema kuwa vitendo hivyo vya kihalifu vilikuwa ni pamoja na kupanga, kutamka, kuandaa na kusambaza taarifa za uchochezi, kuhamasisha watu kushiriki katika vitendo vya kihalifu vikiwepo kuua baadhi ya viongozi na wananchi.
"Walikuwa pia wamepanga na kuratibu kuchoma shule mbalimbali, kulipua transforma za umeme ili nchi iwe gizani, kuharibu na kupora mali za umma na za watu binafsi sambamba na kuua askari wa vyombo vya ulinzi na usalama ili kupora silaha”, ameeleza.
Pia soma: Polisi Tanzania wanadai Waandamanaji sasa Wanapanga kuua Viongozi, wameshaanza kuwakamata
Hapa kuna watu wanatafutwa kupachikwa kesi za kina mbowe kipindi kile......UGAIDI. Na hii mbinu huwa ni ya Mwigulu ndiye huwa anatoka haya makamasi, ndo maana alianza kuzunguka kuwaandaa watanganyika kisaikolojia.Hivi unathibitisha vipi kuwa huyu mtu AMEPANGA kufanya jambo fulani? Maana naona kuna chance ya kusingiziwa watu wengi kwenye hili.
Sijaona mahali anasema wamekamata hata Bomu, Viberiti, Panga, Bunduki, Bastola, Rungu, Visu n.k ambavyo vina ashiria May be walikuwa wamepanga kuchoma sheli.
Tanzania bila rushwa, haiwezekani.