Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) latoa ufafanuzi kuhusu yanayoendelea mtandaoni

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) latoa ufafanuzi kuhusu yanayoendelea mtandaoni

Ukweli utabaki pale pale kuwa wapiganaji ambao no wengi kuliko senior officers wanawaunga mkono wananchi. Mtu kama huyu Bernard Mlunga ambaye alikuwa ADC wa Magufuli amekwisha compromise na wanamtandao hawezi akabadilisha mindset ya maelfu wa wapiganaji wa JWTZ.
 
A
Zingatia: Kiufupi ni kwamba hakuna sehemu barua imesema kuwa Kaptein Tesha siyo Mwanajeshi

Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari​

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linautaarifu umma wa Watanzania kuwa kumejitokeza baadhi ya watu wanaotumia mitandao ya kijamii kuweka maudhui yanayochochea kuingiza Jeshi katika mambo ya siasa.

Aidha, baadhi ya hoja hizo zinatolewa na watu waliopo katika mazingira ya kijeshi, kujinasibisha na Jeshi, walioachishwa Jeshi kwa tabia na mwenendo mbaya pamoja na kujihusisha na siasa na uanaharakati.

Kwa mantiki hiyo, JWTZ linapenda kuutaarifu Umma wa Watanzania kuwa linaendelea kutekeleza majukumu yake kikatiba kwa uaminifu, utiii na uhodari kwa kuzingatia kiapo chetu.
Huyu mtu sio Kanali, ni Brigedia
 
Ndugu zangu Watanzania,

VIDEO:

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeutaarifu umma kuwa limebaini uwepo wa baadhi ya watu wanaotumia mitandao ya kijamii kusambaza maudhui yenye lengo la kulihusisha Jeshi na mambo ya siasa.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Oktoba 4, 2025 na Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa JWTZ, Kanali Bernard Masala Mlunga, baadhi ya watu hao wanajitambulisha kwa jina la Jeshi licha ya kuachishwa kutokana na tabia na mwenendo usiofaa, huku wengine wakijihusisha na siasa na uanaharakati.

Jeshi limesisitiza kuwa halitishiki na majaribio hayo na litaendelea kulinda amani, uhuru na mipaka ya Taifa kwa kuzingatia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na misingi ya uadilifu wake.View attachment 3483398
Tunamsuiri Amiri Jeshi Mkuu aje kukana vikali ...
Captain Tesha ameshasema ole wake polisi yeyote wapige raia..

Kasema pia jeshi sehemu kubwa lipo upande wa raia... ni kundi dogo tu jeshini la wanufaika ndio wataitetea CCM ..

Hivyo Samia hana chake tena hapo...
 
Ndugu zangu Watanzania,

VIDEO:

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeutaarifu umma kuwa limebaini uwepo wa baadhi ya watu wanaotumia mitandao ya kijamii kusambaza maudhui yenye lengo la kulihusisha Jeshi na mambo ya siasa.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Oktoba 4, 2025 na Kaimu Mkurugenzi wa Habari na Uhusiano wa JWTZ, Kanali Bernard Masala Mlunga, baadhi ya watu hao wanajitambulisha kwa jina la Jeshi licha ya kuachishwa kutokana na tabia na mwenendo usiofaa, huku wengine wakijihusisha na siasa na uanaharakati.

Jeshi limesisitiza kuwa halitishiki na majaribio hayo na litaendelea kulinda amani, uhuru na mipaka ya Taifa kwa kuzingatia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na misingi ya uadilifu wake.View attachment 3483398
Mbwa kama wewe uliyejianika kwa uchu wa kutaka uteuzi tutakudaka kama kuku wa mdondo, nchi imeshaiva hii ni suala la muda tu.
 
Back
Top Bottom