The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Huyu mwamba si alikuaga mpambe wa Jiwe? Imekuwaje yeye sasa hivi ni afisa habari la jeshi letu? Hii imekaaje asee kiitifaki. Au wameona wakimtumia italeta uzito flani hiv.Zingatia: Kiufupi ni kwamba hakuna sehemu barua imesema kuwa Kaptein Tesha siyo Mwanajeshi
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linautaarifu umma wa Watanzania kuwa kumejitokeza baadhi ya watu wanaotumia mitandao ya kijamii kuweka maudhui yanayochochea kuingiza Jeshi katika mambo ya siasa.
Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
Aidha, baadhi ya hoja hizo zinatolewa na watu waliopo katika mazingira ya kijeshi, kujinasibisha na Jeshi, walioachishwa Jeshi kwa tabia na mwenendo mbaya pamoja na kujihusisha na siasa na uanaharakati.
Kwa mantiki hiyo, JWTZ linapenda kuutaarifu Umma wa Watanzania kuwa linaendelea kutekeleza majukumu yake kikatiba kwa uaminifu, utiii na uhodari kwa kuzingatia kiapo chetu.
a anyway maboya ndio hayo yashaanza kushushwaSawa
Ndio ukweli huo..Ukweli utabaki pale pale kuwa wapiganaji ambao no wengi kuliko senior officers wanawaunga mkono wananchi. Mtu kama huyu Bernard Mlunga ambaye alikuwa ADC wa Magufuli amekwisha compromise na wanamtandao hawezi akabadilisha mindset ya maelfu wa wapiganaji wa JWTZ.
Ieleweke kwako wewe kama nani na ili iweje Sasa?Mbona kama haieleweki !
Temana na dem wangu weweeLamomy hukuuu
Yuko nje ya nchiMbona hawajamkana yule Kapteni Tesha?
Haya maelezo yameenyooka kama rula ila tulishajiongeza kuwa Tesha ni uhakika na wakubwa zake wanajua kinachoendelea
Chooni wap anavaa pedi kama kawaida Sasa menopause imekata aiseeWiki hii sa100 ruti za chooni zitakuwa nyingi sana.
Watafanya walichozoea kukifanya—kuteka na kudhuru kila anayewapinga!Barua nyepesi sana hii, ukilinganisha na aliyo zungumza Captain. Anyway tunasubiri ujio wa pili wa Captain wa hiyo kabla ya tarehe 29
Lakini kila jambo lina mwisho wake. Waendelee kufanya tu wafanyalo, ila wajue itafika mahala watakwamaWatafanya walichozoea kukifanya—kuteka na kudhuru kila anayewapinga!
Na kupanua wigo mpana😂🤣😆Iweke kwa kiingereza ndio utalisoma vizuri TPDF
Na wenyewe huenda hapa wanazuga tu kwasababu wako kwenye utawala.Ndio ukweli huo..
Hawa high ranking officers ambao ni wanufaika , watajikuta peke yao.
Mkoa fulani gari zime waka kuelekea mkoa fulani Leo.Ndio ukweli huo..
Hawa high ranking officers ambao ni wanufaika , watajikuta peke yao.