Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) latoa ufafanuzi kuhusu yanayoendelea mtandaoni

Luca unajua nje ya kujitoa akili wewe ni rafiki yangu sana humu sivyo? Basi soma alama za nyakati.
 
Na wenyewe huenda hapa wanazuga tu kwasababu wako kwenye utawala.

Mama Abduli asome alama za nyakati.
Kwa jinsi alivyoongea na ile barua ilivyoandikwa... naamini kweli jeshi lipo upande wa wananchi hadi muda huu..

Amiri Jeshi Mkuu azungumze, mama Abdul mwenyewe atoke azungumze kama kweli hakuna chochote kinachoendelea.
 
Saa hizi atakuwa amejaa hofu tupu na hana confidence tena.
 
Wewe ushazoea barua za kirafiki zina maelezo kibaooo! Huo ujumbe unatosha 'jeshi linaendelea kutekeleza majukumu Yake kikatiba Kwa uaminifu' kwani kuna katiba mpya? Maana Yake jeshi linaendelea kumtii amiri jeshi mkuu Kwa mujibu wa katiba iliyopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…