Jeshi la Urusi ni dhaifu sana, ni dhaifu mno

Russia anapigana na nchi 20 vs yeye binafsi hivi tyson akipigana na WATU 20 kwa pamoja na wakamdhibiti utasema tyson ni dhaifu?
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Ni mambo yakuchekesha ila wabongo jamaan ni wajuaji... Hadi wewe unaweza mfundisha urusi cha kufanya yani unaweza Sema urusi dhaifu kweli mbongo mweke picha tu maudhui atajaza mwenyew
Mtu yupo Ushirombo huko eti anamfundisha Putin cha kufanya vitani!!!!
 
Yaani unachekeshaga wewe. Inabidi uanzishe tu kipindi cha comedy. Nchi ambayo ni dhaifu mno inasababisha nchi 30 za NATO zijiunge ili wakabiliane nae peke yake. You must be nuts
 
Wakati unakaza fuvu kuleta ndoto za kufikirika Russia anakusanya mapato makubwa ya mafuta na gas toka Nchi za Ulaya hasa Germany. Ungeelekeza nguvu zako kutathimini namna ya kuikomboa familia kutoka kwenye dimbwi la umaskini na kuongeza kipato chako.
 
Russia sio wamchezo broo iyo vita ni ya watu wengi sio ukraine pekee.Wana saidiwa na a lot of country those Russia wanaonekana ni week
Mkuu mbona kama lugha ya Malikia na Kiswahili vinapigana vita kwa hii comment yako [emoji3]
 
Nilikuwa nasoma makala zako nikajua nasoma makala za mtu mwenye upeo kumbe chizi!sisomi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…