Jeshi la wananchi laonywa lisivunje katiba ya nchi kwa kufanya majukumu yasiyo yake kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi

Umeongea ukweli... Jeshi kuingia mtaani labda ni mapinduzi au kusaka waasi. Hiki wanachokifanya ni kutafuta kiki
Jeshi limekuwa kama bongomovie mandongamwijaku style babalevel

Ova
 
Watanzania uzuzu wetu umeanzia kuonekana hapa hapa kwenye huu uzi. Yaani kabisa kuna watu wanamdhihaki na kumwona Mwambukusi kama amekosea. Watu kama hao unatarajia kuna siku watakomboka na kuwa huru kifikra???

Screenshot_20230428-091154.png
 
Tatizo la nchi masikini hili
Yaani tatizo mnaliona ila wahusika wa kukemea kama wabunge wako kimya wanaogopa utafikiri wanavunja sheria kuhoji sheria zinapovunjwa
Waziri wa sheria yupo, makatibu wapo

Sio kuwa hawajui bali wanaona wataambiwa sijui ukiherehere

Sasa likitokea kundi au mtu au taasisi kulaumu sheria zinavyopindishwa wanawekea biti na mikwara

Watu wajue mipaka yao na kwa hili sioni shida kabisa
 
Kuna kitu naanza kuhisi

Ukifikiri kwa makini lile tamko la JWTZ kuhusu sare za jeshi naliona kama lina mlengo mwingine tofauti na ambavyo limewasilishwa.

Kwanini kusalimisha sare kuambatane na msako wa nyumba kwa nyumba kukagua watu ambao hawajakabidhi sare?

Vipi kama hao wanajeshi wana agenda yao nyingine?

Kupitia sakata la bandari na jinsi upinzani walivyo chachamaa kutoa elimu kwa wananchi kuhusiana na ubovu wa mkataba.

Huku wakihamasisha wananchi waukatae pamoja na kuongeza nguvu ya kudai katiba mpya, na mwitikio wa wananchi umekuwa mkubwa.

Vipi kama ujio wa wanajeshi mtaani hauna lengo la kukusanya sare bali kuwatisha raia ambao hivi karibuni wamekuwa wakihamasishwa kufanya maandamano ya kupinga mkataba?
Akili kubwa hii [emoji1666]
 
Uliongea kiingereza ukiwa msomi wa PhD nami nikaona though am out of english vocabruary with my standard seven let me express with the language I know. Na darasa la saba Mungu kanisaidia kuizunguka dunia na walau kujua lugha mbalimbali make hata kiswahili nilifeli nikiwa la saba.
ለዚህም ነው በስዊድን ቋንቋ መግለጽ ያስፈለገኝ።
ነገር ግን በእኔ ደረጃ ሰባት አሁንም በአለም ውስጥ ብዙ ቋንቋዎችን አውቃለሁ። አሁን በአማርኛ እንወያይ
"Pale standard seven anapojua kutumia google translator kwa mara ya kwanza"
 
Nilitaka nikuulize profession yako kwa nia njema ila nimeacha maana I'm sure you'll take me wrong kumbe mwenzio nilikuwa nauliza kwa nia njema

Iko hivi, research kubwa kubwa duniani za kiteknolojia zinafanywa na majeshi pia, yaani majeshi ya research center zao katika maswala mbali mbali ikiwemo afya

Nikukumbushe tu hiyo internet uliyiitumia kuingia JF, TCP/IP iligunduliwa na jeshi la marekani

No one own internet, tunasema hivyo, tumesomeshwa hivyo na tunasomesha hivyo, lakini kwa TCP/IP model kiuhalisia ipo chini ya jeshi la America bado maana still waan privilege nayo kubwa sana

In short majeshini hususani ya wenzetu kama Iran ina watu akili zao zinachemka sana(akili mingi) na wanafanya project kubwa kubwa sana kadhalika na research muhimu!

Mifumo mingi sana imeanzia jeshini, hata Gantt chart tunayoitumia Ku schedule activities zetu imekuwa innovated jeshini

Kwahiyo hata jeshi letu likiwezeshwa liwe lakisasa wawe na research center yao, waende ilboru, mzumbe, kibaha zile I3 zisiszo na mbambamba waende huko IST wawashawishi wakishua watz walioko huko wajiunge na jeshi watumie hizo cream wajiwekeze kwenye tafiti litakuwa jeshi zuri zaidi ya hapa maana wao resource wanapewa
 
Namheshimu sana Mwabukusi na ninamuunga mkono katika baadhi ya mambo kama DPW. Au kupinga badndari zetu kugawiwa bure kwa DPW.
Ila ktk ili nadhani hatofautishe utendaji wa kazi za jeshi na polisi. Pia hatofautishe sheria zetu jinai na taratibu za kijeshi.

Ajiulize, kwanini jeshi lina mahakama yake ya kijeshi. Kwanini mwanajeshi akivunja sheria lazima kwanza taratibu zao za kijeshi zifuate avuliwe uanajeshi ndipo taratibu za kawaida za kijinai zifuatwe.

Anatakiwa ajue taratibu za kijeshi na intelligency za kijeshi. Jeshi halikurupuki kufanya jambo. Si mara ya kwanza jeshi kufanya zoezi kama hili. Nakumbuka miaka ya nyuma mkoa fulani zoezi ili lilifanyika na lilisaidia kuzuia uharifu. Yaani ukichekea watu hati sheria za kijinai unaweza shangaa unajeshi lisilo rasmi nchini. Au watu tayari wanamiliki silaha.

Na zoezi ili ufanywa na Military police. Wanajua taratibu tuache wafanye kazi.
Umewasilisha hoja yako vizuri ingawa nadhani kuna kitu hujakielewa kuhusu ananchokisisitiza Wakili Boniface.

Yeye hajakataa sare za jeshi zisikusanywe. Hoja yake ni hii, sare hizo zisikusanywe na wananajeshi wenyewe bali polisi (kama ulivyowataja Military Police-MP).

Anachohoji yeye ni kwanini Wanajeshi wenyewe ndio wazurure mtaani kukusanya sare hizo huku wakitweza utu wa wananchi kwa vipigo na mateso ya aina nyingine?

Kwingine kote uko sahihi.
 
Nilitaka nikuulize profession yako kwa nia njema ila nimeacha maana I'm sure you'll take me wrong kumbe mwenzio nilikuwa nauliza kwa nia njema

Iko hivi, research kubwa kubwa duniani za kiteknolojia zinafanywa na majeshi pia, yaani majeshi ya research center zao katika maswala mbali mbali ikiwemo afya

Nikukumbushe tu hiyo internet uliyiitumia kuingia JF, TCP/IP iligunduliwa na jeshi la marekani

No one own internet, tunasema hivyo, tumesomeshwa hivyo na tunasomesha hivyo, lakini kwa TCP/IP model kiuhalisia ipo chini ya jeshi la America bado maana still waan privilege nayo kubwa sana

In short majeshini hususani ya wenzetu kama Iran ina watu akili zao zinachemka sana(akili mingi) na wanafanya project kubwa kubwa sana kadhalika na research muhimu!

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Mbona jeshi letu linafanya hayo pia

[emoji2089] [emoji2088] [emoji2088]

Ova
 
Nilijua hili jeshi limejaa wendawazimu pale nilipomsikia zezeta mmoja mwenye cheo cha lt kanali(sijui alikipataje??) anasema jeshi la Tz ni la 6 duniani.
La 6 duniani kwa kitu gani, ujinga au?
 
Namheshimu sana Mwabukusi na ninamuunga mkono katika baadhi ya mambo kama DPW. Au kupinga badndari zetu kugawiwa bure kwa DPW.
Ila ktk ili nadhani hatofautishe utendaji wa kazi za jeshi na polisi. Pia hatofautishe sheria zetu jinai na taratibu za kijeshi.

Ajiulize, kwanini jeshi lina mahakama yake ya kijeshi. Kwanini mwanajeshi akivunja sheria lazima kwanza taratibu zao za kijeshi zifuate avuliwe uanajeshi ndipo taratibu za kawaida za kijinai zifuatwe.

Anatakiwa ajue taratibu za kijeshi na intelligency za kijeshi. Jeshi halikurupuki kufanya jambo. Si mara ya kwanza jeshi kufanya zoezi kama hili. Nakumbuka miaka ya nyuma mkoa fulani zoezi ili lilifanyika na lilisaidia kuzuia uharifu. Yaani ukichekea watu hati sheria za kijinai unaweza shangaa unajeshi lisilo rasmi nchini. Au watu tayari wanamiliki silaha.

Na zoezi ili ufanywa na Military police. Wanajua taratibu tuache wafanye kazi.
Huna unalolijua
 
Ujumbe mzuri kasoro tu hilo neno'hajitofautishe'...maana yaje nini mkuu?
 
Watanzania tuache kuchekea ujinga. Jwshi linapaswa kufanya mambo serious na sio kuanza kusumbua raia. Jeshi linapaswa kuwa sehemu ya raia kukimbilia pale ambapo vyombo vingine vyote vimeshindwa
Watu wengi vilaza sana...kazi yao kuunga mkono vioja....jeshi linapaswa kuwa home of major inventions....wao wanapaswa kufukuzia ukuaji wa technolojia dunia na kulinda rasilimali za nchi.... sio kupekua wananchi kutafuta sare...hilo mbona simple tu..wawaachie polisi tu...
 
Naunga mkono hoja. Haya majukumu wanayoanza kujivisha jwtz yatawafanya waanze kuonekana wa kawaida. Simply tutaanza kuwachukulia kama polisi tu
 
Watanzania tuache kuchekea ujinga. Jwshi linapaswa kufanya mambo serious na sio kuanza kusumbua raia. Jeshi linapaswa kuwa sehemu ya raia kukimbilia pale ambapo vyombo vingine vyote vimeshindwa
Hili jeshi ama JEZI squad??
 
Back
Top Bottom