Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
[emoji1787][emoji1787]Jitahidi kuwa unasoma mada kabla ya kujibu. Inasaidia ku conceal ujinga unaoweza kuwa nao. Toka lini legal facts zikawa kelele za chura?
Kweli umeamua kuchekesha walionuna....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu hajui kama jeshi pia wana Polisi wao.
Zwazwa huyo[emoji1787][emoji1787]Kwenye jamii ya wajinga kama nyie maendeleo mtayasikia Kwa wenzenu tu.
Wajinga mpo wengi mno
Anatafuta umaarufu kwa nguvu
Jeshi limekuwa kama bongomovie mandongamwijaku style babalevelUmeongea ukweli... Jeshi kuingia mtaani labda ni mapinduzi au kusaka waasi. Hiki wanachokifanya ni kutafuta kiki
Watanzania uzuzu wetu umeanzia kuonekana hapa hapa kwenye huu uzi. Yaani kabisa kuna watu wanamdhihaki na kumwona Mwambukusi kama amekosea. Watu kama hao unatarajia kuna siku watakomboka na kuwa huru kifikra???
Akili kubwa hii [emoji1666]Kuna kitu naanza kuhisi
Ukifikiri kwa makini lile tamko la JWTZ kuhusu sare za jeshi naliona kama lina mlengo mwingine tofauti na ambavyo limewasilishwa.
Kwanini kusalimisha sare kuambatane na msako wa nyumba kwa nyumba kukagua watu ambao hawajakabidhi sare?
Vipi kama hao wanajeshi wana agenda yao nyingine?
Kupitia sakata la bandari na jinsi upinzani walivyo chachamaa kutoa elimu kwa wananchi kuhusiana na ubovu wa mkataba.
Huku wakihamasisha wananchi waukatae pamoja na kuongeza nguvu ya kudai katiba mpya, na mwitikio wa wananchi umekuwa mkubwa.
Vipi kama ujio wa wanajeshi mtaani hauna lengo la kukusanya sare bali kuwatisha raia ambao hivi karibuni wamekuwa wakihamasishwa kufanya maandamano ya kupinga mkataba?
"Pale standard seven anapojua kutumia google translator kwa mara ya kwanza"Uliongea kiingereza ukiwa msomi wa PhD nami nikaona though am out of english vocabruary with my standard seven let me express with the language I know. Na darasa la saba Mungu kanisaidia kuizunguka dunia na walau kujua lugha mbalimbali make hata kiswahili nilifeli nikiwa la saba.
ለዚህም ነው በስዊድን ቋንቋ መግለጽ ያስፈለገኝ።
ነገር ግን በእኔ ደረጃ ሰባት አሁንም በአለም ውስጥ ብዙ ቋንቋዎችን አውቃለሁ። አሁን በአማርኛ እንወያይ
Umewasilisha hoja yako vizuri ingawa nadhani kuna kitu hujakielewa kuhusu ananchokisisitiza Wakili Boniface.Namheshimu sana Mwabukusi na ninamuunga mkono katika baadhi ya mambo kama DPW. Au kupinga badndari zetu kugawiwa bure kwa DPW.
Ila ktk ili nadhani hatofautishe utendaji wa kazi za jeshi na polisi. Pia hatofautishe sheria zetu jinai na taratibu za kijeshi.
Ajiulize, kwanini jeshi lina mahakama yake ya kijeshi. Kwanini mwanajeshi akivunja sheria lazima kwanza taratibu zao za kijeshi zifuate avuliwe uanajeshi ndipo taratibu za kawaida za kijinai zifuatwe.
Anatakiwa ajue taratibu za kijeshi na intelligency za kijeshi. Jeshi halikurupuki kufanya jambo. Si mara ya kwanza jeshi kufanya zoezi kama hili. Nakumbuka miaka ya nyuma mkoa fulani zoezi ili lilifanyika na lilisaidia kuzuia uharifu. Yaani ukichekea watu hati sheria za kijinai unaweza shangaa unajeshi lisilo rasmi nchini. Au watu tayari wanamiliki silaha.
Na zoezi ili ufanywa na Military police. Wanajua taratibu tuache wafanye kazi.
Mbona jeshi letu linafanya hayo piaNilitaka nikuulize profession yako kwa nia njema ila nimeacha maana I'm sure you'll take me wrong kumbe mwenzio nilikuwa nauliza kwa nia njema
Iko hivi, research kubwa kubwa duniani za kiteknolojia zinafanywa na majeshi pia, yaani majeshi ya research center zao katika maswala mbali mbali ikiwemo afya
Nikukumbushe tu hiyo internet uliyiitumia kuingia JF, TCP/IP iligunduliwa na jeshi la marekani
No one own internet, tunasema hivyo, tumesomeshwa hivyo na tunasomesha hivyo, lakini kwa TCP/IP model kiuhalisia ipo chini ya jeshi la America bado maana still waan privilege nayo kubwa sana
In short majeshini hususani ya wenzetu kama Iran ina watu akili zao zinachemka sana(akili mingi) na wanafanya project kubwa kubwa sana kadhalika na research muhimu!
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
La 6 duniani kwa kitu gani, ujinga au?Nilijua hili jeshi limejaa wendawazimu pale nilipomsikia zezeta mmoja mwenye cheo cha lt kanali(sijui alikipataje??) anasema jeshi la Tz ni la 6 duniani.
Huna unalolijuaNamheshimu sana Mwabukusi na ninamuunga mkono katika baadhi ya mambo kama DPW. Au kupinga badndari zetu kugawiwa bure kwa DPW.
Ila ktk ili nadhani hatofautishe utendaji wa kazi za jeshi na polisi. Pia hatofautishe sheria zetu jinai na taratibu za kijeshi.
Ajiulize, kwanini jeshi lina mahakama yake ya kijeshi. Kwanini mwanajeshi akivunja sheria lazima kwanza taratibu zao za kijeshi zifuate avuliwe uanajeshi ndipo taratibu za kawaida za kijinai zifuatwe.
Anatakiwa ajue taratibu za kijeshi na intelligency za kijeshi. Jeshi halikurupuki kufanya jambo. Si mara ya kwanza jeshi kufanya zoezi kama hili. Nakumbuka miaka ya nyuma mkoa fulani zoezi ili lilifanyika na lilisaidia kuzuia uharifu. Yaani ukichekea watu hati sheria za kijinai unaweza shangaa unajeshi lisilo rasmi nchini. Au watu tayari wanamiliki silaha.
Na zoezi ili ufanywa na Military police. Wanajua taratibu tuache wafanye kazi.
Si ndio hili sasa tatizo?Isipokuwa pale kunapokuwa na hali ya hatari au tishio dhahiri la mapinduzi.
Ujumbe mzuri kasoro tu hilo neno'hajitofautishe'...maana yaje nini mkuu?Namheshimu sana Mwabukusi na ninamuunga mkono katika baadhi ya mambo kama DPW. Au kupinga badndari zetu kugawiwa bure kwa DPW.
Ila ktk ili nadhani hatofautishe utendaji wa kazi za jeshi na polisi. Pia hatofautishe sheria zetu jinai na taratibu za kijeshi.
Ajiulize, kwanini jeshi lina mahakama yake ya kijeshi. Kwanini mwanajeshi akivunja sheria lazima kwanza taratibu zao za kijeshi zifuate avuliwe uanajeshi ndipo taratibu za kawaida za kijinai zifuatwe.
Anatakiwa ajue taratibu za kijeshi na intelligency za kijeshi. Jeshi halikurupuki kufanya jambo. Si mara ya kwanza jeshi kufanya zoezi kama hili. Nakumbuka miaka ya nyuma mkoa fulani zoezi ili lilifanyika na lilisaidia kuzuia uharifu. Yaani ukichekea watu hati sheria za kijinai unaweza shangaa unajeshi lisilo rasmi nchini. Au watu tayari wanamiliki silaha.
Na zoezi ili ufanywa na Military police. Wanajua taratibu tuache wafanye kazi.
Watu wengi vilaza sana...kazi yao kuunga mkono vioja....jeshi linapaswa kuwa home of major inventions....wao wanapaswa kufukuzia ukuaji wa technolojia dunia na kulinda rasilimali za nchi.... sio kupekua wananchi kutafuta sare...hilo mbona simple tu..wawaachie polisi tu...Watanzania tuache kuchekea ujinga. Jwshi linapaswa kufanya mambo serious na sio kuanza kusumbua raia. Jeshi linapaswa kuwa sehemu ya raia kukimbilia pale ambapo vyombo vingine vyote vimeshindwa
Hili jeshi ama JEZI squad??Watanzania tuache kuchekea ujinga. Jwshi linapaswa kufanya mambo serious na sio kuanza kusumbua raia. Jeshi linapaswa kuwa sehemu ya raia kukimbilia pale ambapo vyombo vingine vyote vimeshindwa