kifungu gani kinamtaka lieutenant aingie kwa mtogole kusaka magwanda ya jeshi?Sheria zetu zinasema je?
Kama tumejiwekea sheria kufuata mnapata taabu ya nini
Hakuna kifungu kama ipo nionyeshekifungu gani kinamtaka lieutenant aingie kwa mtogole kusaka magwanda ya jeshi?
Sasa kwanini wajipe jukumu la kutia adha kaa raiaHakuna kifungu kama ipo nionyeshe
Kwa kuwa wanajiona wako juu ya sheria na mama kasema kwenye uchaguzi atawatumiaSasa kwanini wajipe jukumu la kutia adha kaa raia
Hakuna sare ama kesi hapo.jamaa zangu wa chadema kama mna sare zirudisheni tuh
Sawa mwalimUmeshinda mwanajeshi.
Nafurahi kuitwa mwalimu. Na ntabadili jina nijiite mwalimuSawa mwalim
Umeelewa lakini hoja ya Mwambukusi?Mnaleta utani kwenye ulinzi wa Taifa, acheni upumbavu tutawafuata majumbani uniform za jeshi ni haramu kutumiwa na raia
UMEULIZWA JESHI LINA HAKI YA KUPEKUA RAIA MITAANI AU KUKAMATA?Namheshimu sana Mwabukusi na ninamuunga mkono katika baadhi ya mambo kama DPW. Au kupinga badndari zetu kugawiwa bure kwa DPW.
Ila ktk ili nadhani hatofautishe utendaji wa kazi za jeshi na polisi. Pia hatofautishe sheria zetu jinai na taratibu za kijeshi.
Ajiulize, kwanini jeshi lina mahakama yake ya kijeshi. Kwanini mwanajeshi akivunja sheria lazima kwanza taratibu zao za kijeshi zifuate avuliwe uanajeshi ndipo taratibu za kawaida za kijinai zifuatwe.
Anatakiwa ajue taratibu za kijeshi na intelligency za kijeshi. Jeshi halikurupuki kufanya jambo. Si mara ya kwanza jeshi kufanya zoezi kama hili. Nakumbuka miaka ya nyuma mkoa fulani zoezi ili lilifanyika na lilisaidia kuzuia uharifu. Yaani ukichekea watu hati sheria za kijinai unaweza shangaa unajeshi lisilo rasmi nchini. Au watu tayari wanamiliki silaha.
Na zoezi ili ufanywa na Military police. Wanajua taratibu tuache wafanye kazi.
Umeambiwa taratibu za kisheria, wewe unaleta porojoHuyo mpuuzi jeshi halifanyi ujinga ukiona hivyo ujue kuna tishio kubwa sana la usalama, na toka matukio ya kibiti Police haiaminiki tena kwenye mambo nyeti, undercover police wasaliti walikuwa wengi sana
Yes umenisanua kitu aiseehKuna kitu naanza kuhisi
Ukifikiri kwa makini lile tamko la JWTZ kuhusu sare za jeshi naliona kama lina mlengo mwingine tofauti na ambavyo limewasilishwa.
Kwanini kusalimisha sare kuambatane na msako wa nyumba kwa nyumba kukagua watu ambao hawajakabidhi sare?
Vipi kama hao wanajeshi wana agenda yao nyingine?
Kupitia sakata la bandari na jinsi upinzani walivyo chachamaa kutoa elimu kwa wananchi kuhusiana na ubovu wa mkataba.
Huku wakihamasisha wananchi waukatae pamoja na kuongeza nguvu ya kudai katiba mpya, na mwitikio wa wananchi umekuwa mkubwa.
Vipi kama ujio wa wanajeshi mtaani hauna lengo la kukusanya sare bali kuwatisha raia ambao hivi karibuni wamekuwa wakihamasishwa kufanya maandamano ya kupinga mkataba?
Umeandika kilichomo kichwani kwako , hujajibu hojaNi vizuri upitie sheria za jeshi ujue military polisi ana wajibu gani na wakati gani anaweza fanya majukumu yake. Na majukumu yake nipamoja na nini. Natumai uwezi niuliza tena hilo swali!
Jeshi (JWTZ) lipo kwa ajili ya raia. Halipo kwa ajili yake binafsi. Lipo kulinda amani ya nchi na mipaka ya nchi. Sasa ikitokea uniform za jeshi zimeenea mtaani unadhani nini kinafuata?
Nimeishi Ethiopia, uniform za polisi ilitokea zikaenea sana kwa raia. kuna muda ilikuwa ngumu kutambuia polisi halali ni yupi kwa kuangalia. Hii ilileta madhara makubwa ktk amani ya nchi.
Walichelewa kuchukua hatua hivyo ilibidi wabadili mavazi ya jeshi la polisi nchi zima. japo madhara yalikuwa tayari yameisha tokea.
Kazi ya polisi ni maswala ya jinai na si vinginevyo.
Ebu nitajie kifungu cha sheria za jinai kinachoeleza kukutwa na mavazi ya jeshi la wananchi. Hapo ndo utajua kuwa unapokutwa na magwanda ya jeshi ufikishwi mahakamani. Bali magandwa ya JWTZ ni mali yao wanachofanya ni kuyachukua na kurejesha kwao.
Kwa maswala ya amani ya nchi ebu tuache siasa na ushabiki. Waacheni jeshi wafanye zoezi la kurejesha magwanda yao. Na uzuri wameomba watu warejeshe wao wenyewe.
Ila wale wabishi ndo wao jeshi watawafuata majumbani au kokote waliko kuyarejesha. Shida hiko wapi?
Kwa jesh nambar 6 kwa ubola dunian aloooKwa Jeshi gani sasa???
Hakuna anepinga kua Uniform za Jeshi ni haramu kutumiwa na Raia. Ila kufuata hizo uniform kwa Raia bila kufuata sharia ni haramu pia.Mnaleta utani kwenye ulinzi wa Taifa, acheni upumbavu tutawafuata majumbani uniform za jeshi ni haramu kutumiwa na raia
Bora ya wewe mwerevu wa humu jamii forumUJINGA wako ndiyo umasikini wako
Unaendelea kuandika ujinga wakoJitahidi kuwa unasoma mada kabla ya kujibu. Inasaidia ku conceal ujinga unaoweza kuwa nao. Toka lini legal facts zikawa kelele za chura?
Hata wewe ni afande shirikishi