Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Military police wa JWTZ ni kwa ajili ya raia
Ni vizuri upitie sheria za jeshi ujue military polisi ana wajibu gani na wakati gani anaweza fanya majukumu yake. Na majukumu yake nipamoja na nini. Natumai uwezi niuliza tena hilo swali!Military police wa JWTZ ni kwa ajili ya raia?
Hamna wa kumgusa, Mungu yuko pamoja nayeAnachokitafuta atakipata[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jeshi lenye project ya mafremu kila kambiNilijua hili jeshi limejaa wendawazimu pale nilipomsikia zezeta mmoja mwenye cheo cha lt kanali(sijui alikipataje??) anasema jeshi la Tz ni la 6 duniani.
Heri mie niliye soma hadi la saba nikaelimika. Kuliko wewe mwenye mashahada sijui PhD ambaye kusoma kote huko hujaelimika. Ha ha ha!Nyie wote inaonekana kama mmesoma sana ni la saba
I pity youHeri mie niliye soma hadi la saba nikaelimika. Kuliko wewe mwenye mashahada sijui PhD ambaye kusoma kote huko hujaelimika. Ha ha ha!
Kule gabon Guinea na Nijer wanasheria wana kazi gani kwa sasa?WAKILI MWABUKUSI ANATAKA MKUU WA MAJESHI AZUIE UVUNJIFU WA KATIBA.
"Nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria na katiba. Kazi ya kukamata wa halifu ni ya Jeshi la Polisi. Jeshi la wananchi halina mamlaka kisheria na kikatiba kuingia kufanya msako mitaani kwa kisingizio cha kutafuta sare zao. Jukumu lao ni kulinda mipaka ya nchi. Cha ajabu hawajatuambia walizipeleka lini huko mitaani au zilichukuliwa na nani au waliibiwa lini? This is more than a comic [Huu ni usanii]!
Mwanajeshi hana mamlaka ya kupekua mtu katika makazi yake au maungo ya raia. Hii ni kazi ya Polisi wetu. Isipokuwa pale kunapokuwa na hali ya hatari au tishio dhahiri la mapinduzi.
Sheria inaruhusu kukataa ukamataji haramu na iwapo jeshi litaingia kwa namna hii ni haki ya wananchi kukataa ukamataji au upekuzi haramu usiofuata sheria ikiwemo kumshtaki Mwanasheria mkuu na Mkuu wa Majeshi ili kulinda sheria na Katiba ya Nchi na kudai fidia ya usumbufu.
Kama jeshi limeibiwa sare zake likaripoti Polisi. Polisi wafanye uchunguzi na wakibaini kosa Polisi ndiyo wenye utaalamu wa kupeleleza uhalifu wa wizi. Jeshi au wanajeshi hawako juu ya sheria [hivyo] wapunguze mihemko.
Kumekuwa na ujasiri wa uvunjaji katiba na sheria na kuwatisha wananchi katika taifa letu katika uongozi huu wa sasa na kwa hili hatutakubali na tutalitolea tamko rasmi kupinga vurugu hizi katika utumishi wa umma.
Mkuu wa Majeshi awajibike haraka kuzuia ukora huu wanaotaka au kupanga kuufanya!
Najisikia aibu sana kuishi na kushuhudia viroja hivi. Mungu bariki Watanganyika! Mungu ibariki Tanzania! Mungu waadhibu na kuwakemea madhalimu wote.
Boniface Kajunjumele Mwabukusi!
Umeongea ukweli... Jeshi kuingia mtaani labda ni mapinduzi au kusaka waasi. Hiki wanachokifanya ni kutafuta kikiWatanzania tuache kuchekea ujinga. Jwshi linapaswa kufanya mambo serious na sio kuanza kusumbua raia. Jeshi linapaswa kuwa sehemu ya raia kukimbilia pale ambapo vyombo vingine vyote vimeshindwa
🤣 🤣 🤣Tycka synd om dig själv först.I pity you
Ulicholeta hapa ni uzuzu. Kumiliki sare za jeshi ni kosa hakuna anayepinga. Lakini mamlaka yenye wajibu wa kukamata na kufikisha mahakamani hawa wahalifu ni jeshi la polisi. Military police hawapaswi na hawaruhusiwi kisheria kushughulika na raia katika hali ya kawaida. Kukiwa na hali ya hatari wanajeshi wanaweza kuitwa kusaidiana na polisi kudumisha/kurejesha amani na usalama. Anachokumbusha Mwabukusi ni kila mamlaka itekeleze wajibu wake kwa kufuata sheria. Vinginevyo hakungekuwa na haja ya kuwa na sheria. Ni aibu kwa "jeshi la sita" kwa ubora kuanza kuhangaika na vibaka walioiba sare za jeshi, au raia wema wasio na ufahamu, waliovaa mitumba inayofanana na sare za majeshi yetu.Namheshimu sana Mwabukusi na ninamuunga mkono katika baadhi ya mambo kama DPW. Au kupinga badndari zetu kugawiwa bure kwa DPW.
Ila ktk ili nadhani hatofautishe utendaji wa kazi za jeshi na polisi. Pia hatofautishe sheria zetu jinai na taratibu za kijeshi.
Ajiulize, kwanini jeshi lina mahakama yake ya kijeshi. Kwanini mwanajeshi akivunja sheria lazima kwanza taratibu zao za kijeshi zifuate avuliwe uanajeshi ndipo taratibu za kawaida za kijinai zifuatwe.
Anatakiwa ajue taratibu za kijeshi na intelligency za kijeshi. Jeshi halikurupuki kufanya jambo. Si mara ya kwanza jeshi kufanya zoezi kama hili. Nakumbuka miaka ya nyuma mkoa fulani zoezi ili lilifanyika na lilisaidia kuzuia uharifu. Yaani ukichekea watu hati sheria za kijinai unaweza shangaa unajeshi lisilo rasmi nchini. Au watu tayari wanamiliki silaha.
Na zoezi ili ufanywa na Military police. Wanajua taratibu tuache wafanye kazi.
Iwe bunduki au silaha yoyote ya jeshi, wanaopaswa kukufuatilia ni jeshi la polisi, labda kama hawana ujuzi na hiyo silaha ndipo jeshi (JWTZ) litahusishwaAfrika wajinga wengi sana. Huyo atakuumiza akili.
Kusaka sare za jeshi, ni kazi ya polisi na siyo jeshi.
Ukiwa na bunduki kwanini wanakufuata polisi na siyo jeshi la wananchi?
Jwtz imekosa kazi.
Nyie la saba failure mnasumbua sana huku![emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Tycka synd om dig själv först.
Unataka tuamini kwamba huko mahakama hazipo kabisa ebu fafanua.Kule gabon Guinea na Nijer wanasheria wana kazi gani kwa sasa?
Ndugu General([emoji294][emoji294][emoji294][emoji294])Unataka tuamini kwamba huko mahakama hazipo kabisa ebu fafanua.
Jeshi ni la wananchi...na yeye ni mwananchi....RIGHT?Braza kahamia jeshini sasa...........kajipanga eeehh
Tunahitaji wananchi wote wawe na uelewa, wajue majukumu ya kila taasisi na yao pia kisheria, waweze kutambua haki zao ili waweze kupambana katika dunia yya ushindani.Anachokitafuta atakipata[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]