Prince mimi
JF-Expert Member
- Jun 2, 2020
- 814
- 2,422
Wakuu,
Moja ya Kazi yake sio kulinda Katiba ya nchi? Kwanini katiba ya nchi inasiginwa mchana kweupe na wao wapo wanaangalia bila hata kuchukua hatua yoyote?
Ni kweli wameamua kuacha polisi kuonea wananchi? Hili si Jeshi la Wananchi? Na wananchi si ndio sisi?
Au tafsiri ya wananchi ni nyingine labda wananchi wa Congo? Kwanini hatusikii hata kauli ya kukemea vikali?
Jeshi letu lipo radhi kwenda congo kutuliza amani, lakini sio kuzima viashiria vya uvunjifu wa amani ndani ya nchi vinavyofanywa na Polisi?
Au mimi ndio sijui kazi ya JWTZ?
CURT Section, 8, Section 18.