mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Mwanangu nlikuwa nasubiria cmnt yako [emoji1]Ubora wa kupasua matofali?
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanangu nlikuwa nasubiria cmnt yako [emoji1]Ubora wa kupasua matofali?
Viongozi ndiyo wanafanya raia wawe siyo wazalendo...Tuanze kubadili mindset.
Hii nchi siyo ya viongozi bali ya raia. Tukiweza kuwaelimisha vijana wetu majeshini kuhusu hilo tutakuwa na wepesi kupiga hatua gatuzi za maendelek
Wewe ni Mtanzania? Kama kweli nasikia una undugu na Omani kwa mjibu wa yule Prof Kabudi alietuahidi Noah kila mtanzaniaTUombe vita visitokee, hali ya jeshi letu tunaikuza, huo uzalendo wa karatasi na uongo sina, tunahitaji mafunzo zaidi na zana za kisasa, tuko nyuma mnoo
Tulikataza viroba wakahamia kwenye Cuca za kwenye vichupa..Sasa ona madhara yake!Mkuu mimi natengeneza sana hizi drone,sijui kwanini jwtz haitoi sapoti nifanye kazi nao.
Naweza kutuma drone dar nikiwa mwanza na haikosei nilipoituma.
Niko tanzania hii hii,wakinihitaji napatikana.
Sio kwamba sina kazi,nina ajira rasmi kabisa ya serikali.
Wakinihitaji naweza kuhamia hata kwao.
TUombe vita visitokee, hali ya jeshi letu tunaikuza, huo uzalendo wa karatasi na uongo sina, tunahitaji mafunzo zaidi na zana za kisasa, tuko nyuma mnoo
Sasa kwa kejeli hizi unadhani watu itatusaidia?Tulikataza viroba wakahamia kwenye Cuca za kwenye vichupa..Sasa ona madhara yake!
Kama siyo vicuca basi Johnson Johnson imeanza kufanyakazi!
Mimi nadhani tumsikilize na tuwekeze kwenye technology.Wewe ni Mtanzania? Kama kweli nasikia una undugu na Omani kwa mjibu wa yule Prof Kabudi alietuahidi Noah kila mtanzania
Huko sahihi mkuu! Kwenye ghala nahisi kuna bastora na mapanga tu😂TUombe vita visitokee, hali ya jeshi letu tunaikuza, huo uzalendo wa karatasi na uongo sina, tunahitaji mafunzo zaidi na zana za kisasa, tuko nyuma mnoo
Hapa tunazungumzia drone za kijeshi, sio drones za kupiga pichaDah!
Mkuu ina maana tuna hali mbaya?
Kwanini tusitumie watafiti wetu waliopo hapahapa nchini?
Mimi mwenyewe kwenye kutengeneza drone naweza sana,tena full automated.
Mwaka kesho nitarusha moja,wakinihitaji niko tayari kufanya kazi nao.
Mkuu hapa umejuaje sizungumzii hizo?Hapa tunazungumzia drone za kijeshi, sio drones za kupiga picha
Tatizo jeshi limetekwa na wanasiasa ndio maana hata wewe unasingizia tatizo bajeti wakati uhuni wa kisiasa ukiendelea Kwa vikesi uchwara mabilioni ya kulipa fidia yapo Tena Kwa haraka lakini kuweleza kwenye teknolijia bajeti hakuna hii nchi ngumu sanaaNi kweli! Nadhani Jeshi letu liko vizuri tu, maana kama linashika namba 6 duniani kwa ubora, ni swala la kuwekeza tu katika Technology ya zana za kivita.
Lakini hata hivyo bajeti ni changamoto, na sijui Serikali inatenga kiasi gani kila mwaka katika bajeti kwa ajili ya Wizara ya Ulinzi!
Huko sahihi mkuu! Kwenye ghala nahisi kuna bastora na mapanga tu😂
Ni kweliTUombe vita visitokee, hali ya jeshi letu tunaikuza, huo uzalendo wa karatasi na uongo sina, tunahitaji mafunzo zaidi na zana za kisasa, tuko nyuma mnoo
Juzi kati hapa pande za msata walikuwa wanafanya drills zaoTatizo jeshi limetekwa na wanasiasa ndio maana hata wewe unasingizia tatizo bajeti wakati uhuni wa kisiasa ukiendelea Kwa vikesi uchwara mabilioni ya kulipa fidia yapo Tena Kwa haraka lakini kuweleza kwenye teknolijia bajeti hakuna hii nchi ngumu sanaa
Na majeshi yetu yanajisahau.Viongozi ndiyo wanafanya raia wawe siyo wazalendo...
Vita vyote unavyoviona huko nchi zingine,wanaopigana siyo wanajeshi tu mpaka raia nao wanavaa magwanda wanaenda frontline
Sasa kuna nchi moja wao wanajiona
Kama wana hakimiliki wao ndiyo wanafanya kila kitu
Ova
sawa umetumwa ujue sio ?Kati ya taasisi nyeti ninazoziheshimu na kuzienzi ni jeshi letu la JWTZ, limeonyesha ukomavu wake kwa miaka mingi sana hasa wakati wa vita ya ukombozi.
Ilipoingia 1978, November/December hadi 1979, jeshi lilipitia "baptism of fire" wakati wa Vita ya Kagera.
Kimsingi baada ya vita ile ikadhihirika kuwa Defence Policy iko safi na inafanya kazi katika mazingira ya wakati ule.
Najua leo jeshi liko complex kuliko wakati huo na lina vyuo vyake ambavyo ni Think Tanks, kama National Defence College pale Kunduchi.
Sasa leo kuna vita hivi vya Ukraine na vile vile Israel na Hamas. Mbinu zilizojitokeza na kuwa very effective katika kushambulia adui, ni matumzi ya Drones na Missiles.
Huko Ukraine drones zimekuwa a weapon of choice katika ku target sehemu za adui kwa pande zote.
Hamas juzi kwa vifaa ambavyo waweza kufikiri ni vya mchezo mchezo tu, katumia drones ambazo zimechakaza vibaya miuondombinu ya kijeshi ya Israel iliyokuwa mstari wa mbele.
Kwamba wameuawa wanajeshi zaidi ya 300 wa Israel katika mashambulio, hilo na jambo kubwa sana.
Maoni yangu ni; Jeshi letu vile vile litazame upya Defence Policy yake ili matumizi ya vifaa hivi viweze kujumuishwa katika ulinzi wa nchi yetu.
Nawaza tu!
Nakubaliana nawe 100%. Ukiwaona Ijumaa wanapokimbia mchakamchaka utashangaa kama unaowaona kweli ni askari wanaoweza kupigana vita.TUombe vita visitokee, hali ya jeshi letu tunaikuza, huo uzalendo wa karatasi na uongo sina, tunahitaji mafunzo zaidi na zana za kisasa, tuko nyuma mnoo