Teuzi za jeshi hazina huo utaratibu wa kujipendekeza kwa mteuzi.Hakuna tatizo kama kasema kwa heshima ulitaka amuandikie barua! au! Hii ndiyo njia pekee ya Amiri jeshi mkuu kupata ujumbe!. Hakuna tatizo lolote kutaka cheo. Tatizo ni woga wa Sirro maana hafanyi kazi nzuri na ni wakati wa kumuondoa
Yaliyomkuta Sumaye!
- Yaliyomkuta Zitto
- Yaliyomkuta Shibuda
🤣Yaliyomkuta Sumaye!
sahau,siro yupo sans TU,,, beyond 2025JKT mkuu tulifundishwa utii, uvumilivu na kulitumikia taifa kwa uzalendo wa kweli...
Ninachokiona hapa kwa ndugu SIRRO inaonekana huko jeshini Askari hawana imani nae kiiiivo...
Na SIRRO hana mda mrefu sana,,,, Anaweza asifike hata December kama hatabadili mwenendo wa Jeshi lake.
sahau,siro yupo sans TU,,, beyond 2025
Mzee anawatumikisha mno kwa maslahi binafsi.Mimi nachokiona ni kwamba ndani ya jeshi lenyewe kuna jambo linafukuta. Ni kweli huwezi kuomba cheo cha boss wako kirejareja. Unajua watu wakianza kukukalia vikao ni vizuri ukaaga na kuondoka.
Yuko dintesheniInasemekana alitumwa India kwenye matibabu.
Mustini=mess tinmustini
Kwa nini haukurekebisha na "resheni" pamoja na "kuruta"?Mustini=mess tin
Nothing personal mkuu.Kwa nini haukurekebisha na "resheni" pamoja na "kuruta"?
Nyakati zingine huwa tunayatumia maneno ya lugha ngeni yanavyotamkwa ili kueleweka vema na kukopa ili tupate misamiati mipya ya kiswahili.Nothing personal mkuu. I was just interested with the word mustini kwa jinsi linavyotumika.
Sorry if I've offended you anyhow
Bila Kumsahau Membe!Ni heri kumkosoa amiri jeshi mkuu kuliko kumkosoa mwenyekiti wa chama.
Zito, Chacha Wangwe na wengine yaliwakuta makubwa huko kwa mwenyekiti baada ya kujaribu kutaka kurudisha demokrasia ya kweli ndani ya chama.
Amani gani?! Kwani mataga wanalalaga nje wakilinda nchi?Unaenda uwani kwa Amani kwa hawa unaowdharau kisa bangi na uchama hata usioelewa michezo ya siasa.
Teuzi za jeshi hazina huo utaratibu wa kujipendekeza kwa mteuzi.
Hayo mambo myafanyage huko huko Ufipa na Lumumba
Sheria za uraiani!Kisheria hajafanya kosa ni utamaduni tu kizuri hajawa mnafiki
Alivyorud nyumban kwake alipokelewa na mkeweKwa mara ya mwisho ulimwona akiwa na mkewe?