Jeshi siyo chama cha Siasa hadi utamani cheo cha Bosi wako mkuu. Hata kwenye Siasa tuliyaona yaliyomkuta Zitto alipotamani cheo cha Mwenyekiti

Jeshi siyo chama cha Siasa hadi utamani cheo cha Bosi wako mkuu. Hata kwenye Siasa tuliyaona yaliyomkuta Zitto alipotamani cheo cha Mwenyekiti

  1. Yaliyomkuta Zitto
  2. Yaliyomkuta Shibuda
 
Hakuna tatizo kama kasema kwa heshima ulitaka amuandikie barua! au! Hii ndiyo njia pekee ya Amiri jeshi mkuu kupata ujumbe!. Hakuna tatizo lolote kutaka cheo. Tatizo ni woga wa Sirro maana hafanyi kazi nzuri na ni wakati wa kumuondoa
Teuzi za jeshi hazina huo utaratibu wa kujipendekeza kwa mteuzi.

Hayo mambo myafanyage huko huko Ufipa na Lumumba
 
JKT mkuu tulifundishwa utii, uvumilivu na kulitumikia taifa kwa uzalendo wa kweli...

Ninachokiona hapa kwa ndugu SIRRO inaonekana huko jeshini Askari hawana imani nae kiiiivo...

Na SIRRO hana mda mrefu sana,,,, Anaweza asifike hata December kama hatabadili mwenendo wa Jeshi lake.
sahau,siro yupo sans TU,,, beyond 2025
 
sahau,siro yupo sans TU,,, beyond 2025

Upo sahihi pia Mkuu,, wala sijabisha..

Acha tujipe tu muda vile hata mimi sio kwamba nipo sahihi kiiivo,, Wote sisi ni wapiga ramli tu..

Muda utatupa majibu
 
Mimi nachokiona ni kwamba ndani ya jeshi lenyewe kuna jambo linafukuta. Ni kweli huwezi kuomba cheo cha boss wako kirejareja. Unajua watu wakianza kukukalia vikao ni vizuri ukaaga na kuondoka.
Mzee anawatumikisha mno kwa maslahi binafsi.

Ma arapisii wakifungua midomo mtaficha nyuso zenu
 
Unaenda uwani kwa Amani kwa hawa unaowdharau kisa bangi na uchama hata usioelewa michezo ya siasa.
Amani gani?! Kwani mataga wanalalaga nje wakilinda nchi?

Hii nchi tunasaidiwa na Mungu tu, hao wana siasa wanalinda matumbo yao tu!
 
Hata huku kwenye chama chetu cha upingaji Sumaye alipotaka kugombea uenyekiti aliambiwa 'sumu haionjwi kwa ulimi', akaufyata!
 
Back
Top Bottom