Jessica Magufuli: Nilipata taarifa za kifo cha baba kupitia mitandao ya kijamii

Jessica Magufuli: Nilipata taarifa za kifo cha baba kupitia mitandao ya kijamii

Kwa mazingila yale, na maneno ya akina KIGOGO mitandaoni, , sina shaka alipata habari kabla hata MAKAMU hajatangaza! Asitudanganye! Akina KASIMU, POLEPOLE, BASHIRU, MABEYO, NDUGAI wanabishana, Janeth na familia yake, walishakaa mkao wa KILIO!
Rais akifariki wa kwanza kabisa kupewa taarifa ni Makamu wa Rais,wa pili wakuu wa usalama,Tatu familia,Nne viongozi wa kawaida mawaziri,wa chama Nk..mwisho wakina sisi walipa Kodi lukuki
 
Urais ni kazi ya upweke hata ukiumwa familia yako hairuhusiwi kukusogelea. Hata mkeo ukifanya nae mapenzi mnaacha mlango wazi.
 
Rais akifariki wa kwanza kabisa kupewa taarifa ni Makamu wa Rais,wa pili wakuu wa usalama,Tatu familia,Nne viongozi wa kawaida mawaziri,wa chama Nk..mwisho wakina sisi walipa Kodi lukuki
KUna kupewa na taarifa na kuna kuwa na taarifa.

Familia mara nyingi wanakuwa karibu sana.
Taarifa wanaijua mapema.

Kuna wanausalama, hawa nao ni watu wa kwanza kuwa na taarifa.
 
Nmesikiliza hiyo interviw ya lisaa 1 na dakika 23,
Kiukweli pale tulipoteza mtu aisee,

Pamoja ma mapungufu yake lakini alikuwa bora mara mia kuliko kale ka bibi pale juu.
kabibi kenye mtulinga
 
MImi nakumbuka ilikuwa mida kama hii, nikiwa naperuzi JF.
Kuna mwamba akaweka uzi kwamba JPM kafariki, mara dk si nyingi mods wakaufunga uzi.

Baadae kidogo ukaanzishwa uzi mwingine , wakasema TBC wamekata matangazo, mara Makamu Wa Rais anahutubia.
Baadae ndio ukaanzishwa uzi rasmi.
 
Back
Top Bottom