residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,348
- 15,205
Kabisa.Jesca hayupo smart nimesikiliza interview Ila she is not smart
Pengine kiuongozi ana karama, lakini kichwani hayupo smart kabisa.
Kabisa.Jesca hayupo smart nimesikiliza interview Ila she is not smart
Wanazunguka sana wakati lengo lao ni kujipatanisha na wafuasi wa Magufuli ambao wanaona kabisa shujaa wao kapuuzwa!Kivuli cha magufuli kitawatesa sana ccm nyimbo zishaanza toka kwa millard ayo
Lakini kale kabibi ni chaguo la mwenda zakeNmesikiliza hiyo interviw ya lisaa 1 na dakika 23,
Kiukweli pale tulipoteza mtu aisee,
Pamoja ma mapungufu yake lakini alikuwa bora mara mia kuliko kale ka bibi pale juu.
Hakika mkuu, na hii damage ya uchawa🤣Yes. Kuna vitu alikuwa anapatia sana tu.... Ila demokrasia na uhuru wa watu kujieleza alifeli.
kaongo.... si kweli....Jesca ameeleza kuwa hakuwahi kupata nafasi ya kwenda kumuona baba yake alipokuwa mgonjwa hospitalini, kaka yake mkubwa pamoja na baba yake mdogo ndiyo waliokuwa wakienda hospitalini.
Kuhusu taarifa za kifo cha baba yake amesema alizipata mtandaoni kwenye ukurasa wa Millard Ayo, kama wengine walivyozipata. Anasema ulikuwa wakati mgumu kwani walikuwa wana matumaini kuwa baada ya baba yao kustaafu basi angepata muda wa kuwa nao zaidi.
View attachment 3319608
Urais ni kazi ya upweke hata ukiumwa familia yako hairuhusiwi kukusogelea. Hata mkeo ukifanya nae mapenzi mnaacha mlango wazi.
Sawa. Bado unateseka na Magufuli?..Magufuli alikuwa anaumwa.
..Mkewe alikuwa anaumwa.
..alikuwa na tatizo la moyo lakini akapelekwa Mzena badala ya JKHI.
..familia walikuwa hawaruhusiwi kumuona.
..hizo ni dalili za mgonjwa wa Covid.
..
Sawa. Bado unateseka na Magufuli?
Yote hayo kwangu ni kelele tu. Nampenda sana Magufuli...Ndio.
..nateseka na MAOVU aliyoyasimamia katika utawala wake.
..watu kutekwa, kuteswa, na kupotezwa
Yote hayo kwangu ni kelele tu. Nampenda sana Magufuli.
she is looking PublicityKwa hiyo anatakaje sasa
Amlaumu baba yake, hii inaonyesha hawakuwa na mahusiano mazuri ya kifamilia. Hili alichosema sio jambo la huruma, bali ni aibu ya familia yao.Akihojiwa kupitia Ayotv mtoto wa Hayati John Magufuli , Jessica Magufuli, amesema kuwa taarifa za kifo cha baba yake alizipata wakati huo akiwa Dodoma kupitia mitandao ya kijamii kama watanzania wengine walivyopata.