Jessica Magufuli: Nilipata taarifa za kifo cha baba kupitia mitandao ya kijamii

Nmesikiliza hiyo interviw ya lisaa 1 na dakika 23,
Kiukweli pale tulipoteza mtu aisee,

Pamoja ma mapungufu yake lakini alikuwa bora mara mia kuliko kale ka bibi pale juu.
Magu mi kuna vitu nilikubakiana naye--- ila la uchaguzi wa 2020 --- nikamuona huyu jamaa kachanganyikiwa
 
Akihojiwa kupitia Ayotv mtoto wa Hayati John Magufuli , Jessica Magufuli, amesema kuwa taarifa za kifo cha baba yake alizipata wakati huo akiwa Dodoma kupitia mitandao ya kijamii kama watanzania wengine walivyopata.

Jana Okwi Boban Sunzu aliandika " Fedha na madaraka ni vitu vya kupita"

Yeye aliandika Fedha haziwezi kufanya kila kitu.
 
Akihojiwa kupitia Ayotv mtoto wa Hayati John Magufuli , Jessica Magufuli, amesema kuwa taarifa za kifo cha baba yake alizipata wakati huo akiwa Dodoma kupitia mitandao ya kijamii kama watanzania wengine walivyopata.

Hii inaonyesha jinsi kuugua na kifo cha Magufuli vilivyo na utata mkubwa.You can imagine hata mkewe hakuwa on his bed side.But why,why, why!?
 
Huyu wa sasa hata zuri hana
Ya kwamba kukamilisha miradi iliyo anzishwa kwa pupa na jiwe sio mazuri?
Ya kwamba kuajili maelfu ya watz kitu ambacho jiwe alishindwa kukifanya kwa miaka 6 sio mazuri?
Ya kwamba kunyanyua bei za mazao ya kilimo ambayo kipindi cha jiwe yalikuwa yanaozea mashambani sio mazuri?
Huyu mama ana mapungufu lakini ww unachuki za kijinga kwa huyu mama kwa kudhani alihusika na kifo cha shujaa wenu jiwe.
 
JPM kama binadamu mwingine yoyote yule, alikuwa ana mazuri yake lakini pia alikuwa ana mabaya yake
Baya la Magufuli nililoliona kubwa ilikuwa kudhani kwamba vyama vya upinzani vinashirikiana na mabeberu kudhoofisha juhudi zake za kuwaletea Watanzania maendeleo.He was so committed to the development of Tanzanians.
 
Ya kwamba kukamilisha miradi iliyo anzishwa kwa pupa na jiwe sio mazuri?
Ya kwamba kuajili maelfu ya watz kitu ambacho jiwe alishindwa kukifanya kwa miaka 6 sio mazuri?
Ya kwamba kunyanyua bei za mazao ya kilimo ambayo kipindi cha jiwe yalikuwa yanaozea mashambani sio mazuri?
Huyu mama ana mapungufu lakini ww unachuki za kijinga kwa huyu mama kwa kudhani alihusika na kifo cha shujaa wenu jiwe.
Itoshe tu kusema huna akili
 
Baya la Magufuli nililoliona kubwa ilikuwa kudhani kwamba vyama vya upinzani vinashirikiana na mabeberu kudhoofisha juhudi zake za kuwaletea Watanzania maendeleo.He was so committed to the development of Tanzanians.
Ni kweli nia yake ilikua njema, ila sielewi kwanini Ali-deal na opposition wakati walikua hawana madhara. Kwani angefanya maendeleo huku wapinzani wanamkosoa angepungukiwa nini? Si angeshinda tu bado.

Angekua ndio best ever president ila mambo madogo madogo hayo yanamharibia sifa
 
Back
Top Bottom