lost files
JF-Expert Member
- Apr 17, 2025
- 1,146
- 3,425
Rais akifariki wa kwanza kabisa kupewa taarifa ni Makamu wa Rais,wa pili wakuu wa usalama,Tatu familia,Nne viongozi wa kawaida mawaziri,wa chama Nk..mwisho wakina sisi walipa Kodi lukukiKwa mazingila yale, na maneno ya akina KIGOGO mitandaoni, , sina shaka alipata habari kabla hata MAKAMU hajatangaza! Asitudanganye! Akina KASIMU, POLEPOLE, BASHIRU, MABEYO, NDUGAI wanabishana, Janeth na familia yake, walishakaa mkao wa KILIO!
Urais ni kazi ya upweke hata ukiumwa familia yako hairuhusiwi kukusogelea. Hata mkeo ukifanya nae mapenzi mnaacha mlango wazi.Kwa mazingila yale, na maneno ya akina KIGOGO mitandaoni, , sina shaka alipata habari kabla hata MAKAMU hajatangaza! Asitudanganye! Akina KASIMU, POLEPOLE, BASHIRU, MABEYO, NDUGAI wanabishana, Janeth na familia yake, walishakaa mkao wa KILIO!
KUna kupewa na taarifa na kuna kuwa na taarifa.Rais akifariki wa kwanza kabisa kupewa taarifa ni Makamu wa Rais,wa pili wakuu wa usalama,Tatu familia,Nne viongozi wa kawaida mawaziri,wa chama Nk..mwisho wakina sisi walipa Kodi lukuki
kabibi kenye mtulingaNmesikiliza hiyo interviw ya lisaa 1 na dakika 23,
Kiukweli pale tulipoteza mtu aisee,
Pamoja ma mapungufu yake lakini alikuwa bora mara mia kuliko kale ka bibi pale juu.
Hapo kwenye kuacha mlango wazi, weka picha tuthibitisheUrais ni kazi ya upweke hata ukiumwa familia yako hairuhusiwi kukusogelea. Hata mkeo ukifanya nae mapenzi mnaacha mlango wazi.
Nimesema Kama ulivyosema weweKUna kupewa na taarifa na kuna kuwa na taarifa.
Familia mara nyingi wanakuwa karibu sana.
Taarifa wanaijua mapema.
Kuna wanausalama, hawa nao ni watu wa kwanza kuwa na taarifa.
🤣🤣🤣🤣🤣 dahUkipiga huyu unazaa kichaa katoto katarithi wehu wa babu.
Alini quote kunieleza Jambo, Nika reply kwa kusema kua tulikua tunaongelea Jambo lilelile,Kuna tatizo??Umeulizwa? Au unataka kujionesha jinsi ulivyo mjuaji.
Hivi Jessica ameolewa? Nataka kupeleka posa,, JPM alijua kuzaa…;Kilaaniwe kijiji cha Msoga.
These include:-PreGE2025 strategies
Huyu wa sasa hata zuri hanaJPM kama binadamu mwingine yoyote yule, alikuwa ana mazuri yake lakini pia alikuwa ana mabaya yake