Jet Li amkabidhi mkewe utajiri wake wote asema ataomba kwa mkewe akihitaji kitu

Jet Li amkabidhi mkewe utajiri wake wote asema ataomba kwa mkewe akihitaji kitu

Pamoja na makungfu yote yale mataichii na masarakasi mwamba kabanwa hivi kwenye kende 🤣🤣🤣🤣

Jokes, kashasema ametoka nae chini, mwanamke unaeanza nae safari ya maisha anastahili vyote kwakweli, rare gems!
 
Asia hawana uhuni kwenye ndoa. Katika jamii zao taasisi ya ndoa bado ipo imara, iyo kitu angefanya kwa demu wa kizungu yangemtokea kama ya emanuel eboue
 
Kikao kijacho aitwe ajitete kwanini asifutwe uanachama,maana Alichokifanya akiskia Ashura wangu itakua ndio baaas...
Joti's voice
 
Kataa ndoa yuko huko anasonya, ila akiangalia anachomiliki ni mbupu tu🤣

Bora mtu ukae tu na pumbu zako bila stress kuliko kupigwa na maisha halafu mtu anakuletea mafeelings hata ukinywa bia mbili unaambiwa umelewa
 
Hata ningekuwa Mimi nimeoa mchina ningemkabidhi mali zangu sababu ,demu hana shepu Wala tako Sina ninachohofia tofauti na hawa akina Halima kipchoge
 
Bora mtu ukae tu na pumbu zako bila stress kuliko kupigwa na maisha halafu mtu anakuletea mafeelings hata ukinywa bia mbili unaambiwa umelewa
Pole sana mkuu!
 
Nimejaribu kuangalia mali zangu nikiambiwa nimkabidhi mama G ,mpaka nimecheka.Mashati mengii na viatu vya mtumba🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 We jamaa unachekesha sana
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Back
Top Bottom