Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Simba bana 🤣 🤣 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vunjabei alishailipa Simba hela, kazi imebaki kwake kuzirudisha. Nadhani umekuwa mvivu tu wa kufuatilia mikataba. Ngoja nikukumbushe:hivi mmemkosea nini Vunjabei 🤣 🤣 🤣
cheif habari ya mikataba hapa haihusiki.Vunjabei alishailipa Simba hela, kazi imebaki kwake kuzirudisha. Nadhani umekuwa mvivu tu wa kufuatilia mikataba. Ngoja nikukumbushe:
Mkataba wa Simba na Vunjabei ni kwamba Vunabei anatoa 2B kwa Simba, atauza kwa bei yoyote na kwa wingi wowote, anabaki kuzitafuta kuzirudisha kwenye mauzo. Hii ni pre paid
Mkataba wa Yanga na GSM ni kwamba anatafuta kwanza wateja, atauza kwa bei yoyote na kwa wingi wowote, ila kila jezi ataipa Yanga sh. 1,300/=. Hii ni post paid
Wakati Simba hatawakuwa na haja ya kufuatilia Vunjabei ameuza jezi ngapi, Yanga wao inabidi wafuatilie GSM ameuza jezi ngapi ili asije akawapiga, maana kila jezi itakayouzwa wana vihela hapo
hahah na hapo hazijazinduliwa, zikizinduliwa WAHA na WAKINGA watatuletea hadi nyumbani kwa mkopo wa mwezi mmoja.
Mbona mnafuatilia zaidi jezi za simba kuliko maandalizi ya wapinzani wenu Rivers wa Nigeria? Wamempiga bingwa wa ligi yao Akwa United katika pre season, ninyi mnacheza na Kagera Rangers!Filter hiyo inakudanganya tu kolo fc
Unamuita mwenzio mvivu wakat we ndo mvivu plus.Vunjabei alishailipa Simba hela, kazi imebaki kwake kuzirudisha. Nadhani umekuwa mvivu tu wa kufuatilia mikataba. Ngoja nikukumbushe:
Mkataba wa Simba na Vunjabei ni kwamba Vunjabei ametoa 2B kwa Simba, atauza kwa bei yoyote na kwa wingi wowote, anabaki kuzitafuta kuzirudisha kwenye mauzo. Hii ni pre paid
Mkataba wa Yanga na GSM ni kwamba anatafuta kwanza wateja, atauza kwa bei yoyote na kwa wingi wowote, ila kila jezi ataipa Yanga sh. 1,300/=. Hii ni post paid
Wakati Simba hatawakuwa na haja ya kufuatilia Vunjabei ameuza jezi ngapi, Yanga wao inabidi wafuatilie GSM ameuza jezi ngapi ili asije akawapiga, maana kila jezi itakayouzwa wana vihela hapo
Ushamba ni mzigo, kwani hayo matangazo ni bure?Jezi la mikia ubunifu 0,jezi gani hilo,mo foundation,mo 29,mo chungwa,mo coconut,,vunja bei sinza,vunja bei mbeya,mpk soksi zina mo foundation,jezi ina full makolokolo,halafu mkiitwa makolokolo fc mnanuna! Shadeeya njoo uone jezi za mikia
Jezi ya Yanga imejaa wale majamaa wa movie ya wrong turn waliofanana na manara
Kabisa ,ushirikiana wao wamehamisha hadi kwenye jezi ,mwaka huu tuna misukule ligi kuuAu kwa series ya “ Deadman Walking” [emoji3][emoji3]
Hahahahaaa. lolJezi la mikia ubunifu 0,jezi gani hilo,mo foundation,mo 29,mo chungwa,mo coconut,,vunja bei sinza,vunja bei mbeya,mpk soksi zina mo foundation,jezi ina full makolokolo,halafu mkiitwa makolokolo fc mnanuna! Shadeeya njoo uone jezi za mikia
Acha kufananisha bango la vibwengo na Jersey za Wa KimataifaJezi ipi kali kati ya Simba na ile ya Yanga kwa msimu huu 2021/22
View attachment 1922111
View attachment 1922112
View attachment 1922113
View attachment 1922114
View attachment 1922115
View attachment 1922116
View attachment 1922122
Wanataka timu pinzani watishike na hivyo vibwengoKabisa ,ushirikiana wao wamehamisha hadi kwenye jezi ,mwaka huu tuna misukule ligi kuu
Umeeleweka sanaVunjabei alishailipa Simba hela, kazi imebaki kwake kuzirudisha. Nadhani umekuwa mvivu tu wa kufuatilia mikataba. Ngoja nikukumbushe:
Mkataba wa Simba na Vunjabei ni kwamba Vunjabei ametoa 2B kwa Simba, atauza kwa bei yoyote na kwa wingi wowote, anabaki kuzitafuta kuzirudisha kwenye mauzo. Hii ni pre paid
Mkataba wa Yanga na GSM ni kwamba anatafuta kwanza wateja, atauza kwa bei yoyote na kwa wingi wowote, ila kila jezi ataipa Yanga sh. 1,300/=. Hii ni post paid
Wakati Simba hatawakuwa na haja ya kufuatilia Vunjabei ameuza jezi ngapi, Yanga wao inabidi wafuatilie GSM ameuza jezi ngapi ili asije akawapiga, maana kila jezi itakayouzwa wana vihela hapo
😀😀hivi mmemkosea nini Vunjabei 🤣 🤣 🤣
Tutawapiga hivo hivo tunaanza na ngao ya jamiiWanataka timu pinzani watishike na hivyo vibwengo
Ndo ueleze we unayejua siyo unatoa povu ,hebu fafanua basi wewe ukweli ni upi?Unamuita mwenzio mvivu wakat we ndo mvivu plus.
fuatilia tena mkataba wa Yanga na GSM kisha ulete hekaya zako hapa. Unajifanya unajua kumbe hujui kitu mbumbumbu plus