Jezi ipi kali kati ya Simba na Yanga?

Jezi ipi kali kati ya Simba na Yanga?

Simba bana 🤣 🤣 🤣
1630663213176.png
 
hivi mmemkosea nini Vunjabei 🤣 🤣 🤣
Vunjabei alishailipa Simba hela, kazi imebaki kwake kuzirudisha. Nadhani umekuwa mvivu tu wa kufuatilia mikataba. Ngoja nikukumbushe:
Mkataba wa Simba na Vunjabei ni kwamba Vunjabei ametoa 2B kwa Simba, atauza kwa bei yoyote na kwa wingi wowote, anabaki kuzitafuta kuzirudisha kwenye mauzo. Hii ni pre paid
Mkataba wa Yanga na GSM ni kwamba anatafuta kwanza wateja, atauza kwa bei yoyote na kwa wingi wowote, ila kila jezi ataipa Yanga sh. 1,300/=. Hii ni post paid

Wakati Simba hatawakuwa na haja ya kufuatilia Vunjabei ameuza jezi ngapi, Yanga wao inabidi wafuatilie GSM ameuza jezi ngapi ili asije akawapiga, maana kila jezi itakayouzwa wana vihela hapo
 
Mkataba wa Simba na Vunjabei ni kwamba Vunabei anatoa 2B kwa Simba, atauza kwa bei yoyote na kwa wingi wowote, anabaki kuzitafuta kuzirudisha kwenye mauzo. Hii ni pre paid
Mkataba wa Yanga na GSM ni kwamba anatafuta kwanza wateja, atauza kwa bei yoyote na kwa wingi wowote, ila kila jezi ataipa Yanga sh. 1,300/=. Hii ni post paid

Wakati Simba hatawakuwa na haja ya kufuatilia Vunjabei ameuza jezi ngapi, Yanga wao inabidi wafuatilie GSM ameuza jezi ngapi ili asije akawapiga, maana kila jezi itakayouzwa wana vihela hapo
cheif habari ya mikataba hapa haihusiki.

nauliza tena, Simba mmemkosea nini Vunjabei hadi kawatengenezea jezi za kawaida saaana namna hiii ubunifu zero????
 
Vunjabei alishailipa Simba hela, kazi imebaki kwake kuzirudisha. Nadhani umekuwa mvivu tu wa kufuatilia mikataba. Ngoja nikukumbushe:
Mkataba wa Simba na Vunjabei ni kwamba Vunjabei ametoa 2B kwa Simba, atauza kwa bei yoyote na kwa wingi wowote, anabaki kuzitafuta kuzirudisha kwenye mauzo. Hii ni pre paid
Mkataba wa Yanga na GSM ni kwamba anatafuta kwanza wateja, atauza kwa bei yoyote na kwa wingi wowote, ila kila jezi ataipa Yanga sh. 1,300/=. Hii ni post paid

Wakati Simba hatawakuwa na haja ya kufuatilia Vunjabei ameuza jezi ngapi, Yanga wao inabidi wafuatilie GSM ameuza jezi ngapi ili asije akawapiga, maana kila jezi itakayouzwa wana vihela hapo
Unamuita mwenzio mvivu wakat we ndo mvivu plus.
fuatilia tena mkataba wa Yanga na GSM kisha ulete hekaya zako hapa. Unajifanya unajua kumbe hujui kitu mbumbumbu plus
 
Umeeleweka sana
 
Ndo ueleze we unayejua siyo unatoa povu ,hebu fafanua basi wewe ukweli ni upi?
 
Back
Top Bottom