Jezi mpya kwa timu mbalimbali kwa msimu ujao 2023/2024

Jezi mpya kwa timu mbalimbali kwa msimu ujao 2023/2024

As Roma new home kit
D72422FC-E86D-4D39-8EBA-6BF21F9DDC47.jpeg
DBE51472-86AD-42EF-AAC0-9A08EC78123F.jpeg
 
Kwa uchumi gani..nani ataweza kununua jezi kwa bei ya zaidi ya shilingi laki mbili
matengenezo ya hio jezi haigharimu hata 20k kwa pisi moja, jaribu kufuatilia
 
swali zuri sana,
alafu hizo za majuu bei yake ukijumlisha kila kitu haizid $6,....

hapo ni design, production, logistic....

Nani kakundanganya?sio kweli,mfano jezi za man u ambayo ni team ninayoshabikia kuna jezi aina mbili,moja ya mashabiki na moja ile ile ya wachezaji wanayoingia nayo uwanjani kumbuka hizi jezi ambazo wachezaji wanacheza nazo na hizo ambazo unaona mashabiki wanavaa ni mbili tofauti kwenye material na bei,ya mashabiki €94 ile ambayo wachezaji wanaingia nayo uwanjani €129
 
swali zuri sana,
alafu hizo za majuu bei yake ukijumlisha kila kitu haizid $6,....

hapo ni design, production, logistic....

Bei inakua juu ila quality yake sio ya dunia hii,hizi zetu za elfu 35 ni kuzivumilia tu ila
Ukifua mara tatu aisee sidhani kama zinabaki na ubora hata nusu yake,sie bado sana tuendelee tu kufurahia utani wa jadi nani mwenye jezi nzuri na nani kasajili vizuri siku ziende
 
Mk
swali zuri sana,
alafu hizo za majuu bei yake ukijumlisha kila kitu haizid $6,....

hapo ni design, production, logistic....
Mkuu una uhakika? Jezi zinauzwa hadi pound 75. Ambayo ni zaidi ya laki 2 za kwetu.
 
Back
Top Bottom