Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Wanawaza zichakae ndani ya mwezi zinunuliwe tena..bei rahisi ila zinachakaa mapema so wanapata faida watu wananunua mara kwa mara...mbongo kit ya laki moja au laki mbili anaanzaje kununua 😆Hivi kwa nini sisi tunashindwa kutengeneza jezi material kali kama hizi