Jezi mpya kwa timu mbalimbali kwa msimu ujao 2023/2024

Jezi mpya kwa timu mbalimbali kwa msimu ujao 2023/2024

BE38E6D4-8ABE-42A7-A0A6-E8A5C62FB8F4.jpeg
 
Timu za Ulaya huwa hazibadili rangi zake za msingi ,hivyo hata mashabiki wakijaa uwanjani inakuwa rangi Moja. Sasa bongo Sasa Kila msimu na rangi na michoro yake. Siku washabiki wanajaa uwanjani inakuwa kama kachumbari au zile dawa zenye rangi tofauti
Wanakua kama shanga
 
Back
Top Bottom