Jezi mpya kwa timu mbalimbali kwa msimu ujao 2023/2024

9872CCBE-FE46-4949-966C-B87E81C5CE60.jpeg
 
Man U home kit mbaya sana.
Hivi nyie mnakaa wapi? narudia tena kusema Adidas,puma,nike n.k waopewa tenda za kutengeneza jezi Ulaya sio Vunjabei kwamba Jezi zitavuja kabla ya tarehe official hizo ni edit tu za mashabiki hyper za mitandaoni ile pundamilia nani alitegemea? Tulijuja kushangaa siku wanaintriduce tu
 
Ya Arsenal ilivuja na imezinduliwa yenyewe ya Man U home nina uhakika kama ndio yenyewe nimeona clip ya jezi kama hiyo ikiwa Og kutoka Adidas.
 
Hivi nyie mnakaa wapi? narudia tena kusema Adidas,puma,nike n.k waopewa tenda za kutengeneza jezi Ulaya sio Vunjabei kwamba Jezi zitavuja kabla ya tarehe official hizo ni edit tu za mashabiki hyper za mitandaoni ile pundamilia nani alitegemea? Tulijuja kushangaa siku wanaintriduce tu
Huna akili mazee
 
Back
Top Bottom