Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gunners tayari siku mingiNewcastle,Man U,Real Madrid home kit uhakika, ila PSG, Barcelona watanisamehe ngoja tumsubiri Gunners!!
hawa kumbe wamebadili mdhamini wa kifuani.....?Newcastle away kitView attachment 2674167
Rekebisha hapo siyo chini ya kumi bali juu ya kumi! Mfano; 9/10 tisa ipo juu ya kumi siyo chini ya kumi! AhsanteLiverpool wametoa uzi mpya kwa msimu ujao unawapa ngapi chini ya 10View attachment 2610676View attachment 2610677View attachment 2610678
Kali sana hii.Newcastle away kitView attachment 2674167
🤣🤣Rekebisha hapo siyo chini ya kumi bali juu ya kumi! Mfano; 9/10 tisa ipo juu ya kumi siyo chini ya kumi! Ahsante
Hivi kwa nini sisi tunashindwa kutengeneza jezi material kali kama hiziLiverpool new goalkeeper’s kit🔥🔥View attachment 2674163
Wabunifu wetu wa jezi ni wababaishaji mkuuHivi kwa nini sisi tunashindwa kutengeneza jezi material kali kama hizi
Kwa uchumi gani..nani ataweza kununua jezi kwa bei ya zaidi ya shilingi laki mbiliHivi kwa nini sisi tunashindwa kutengeneza jezi material kali kama hizi
Huyu jamaa anaonekana ni mzigua au mdigo wa Tanga kabisa.