Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Ukiona hivyo ujue Mkataba wa Fred ukiisha yeye ndio atakuwa anatengeneza jezi,anawaandaa kisaikolojia.Mwamedi kweli anapenda sifa na umaarufu sasa mosport yanini kwani yeye ndio mtengeneza jersey?
Mo angepunguza mitangazo yake zingekuwa nzuriJezi zimetulia sana tu,kiguu na njia Msimbazi kujitwalia angalau kit mbili za kuwaumizia roho Utopolo,wajifunze jezi nzuri zinavyokua sio kujaza vinyago.
Sasa nyie Chawa wa Mwamedi mlichokuwa mnapinga ni nini?
Vunjabei alishindanishwa na GSM akashindwa kwenye jezi za Yanga. Kulikuwa na mgogoro sana hasa ukiwahusisha kina Dismas Ten. Bahati nzuri Yanga walimshtukia kwa sababu hata mimi nilikuwa nampigia debe, ila naona ni mtu wa Guangzhou sana.Ukiona hivyo ujue Mkataba wa Fred ukiisha yeye ndio atakuwa anatengeneza jezi,anawaandaa kisaikolojia.
Nyie si kwenu huku waganga njaa wamejazana kibao kwenye club, mbona club nyingine kubwa Africa zinaweza why nyie au nao wana kiengo cha Mossad.Team ya Simba itafanya vizuri uwanjani na Fred atauza jezi kwa sana tu.Wewe uwe na usiri kuzidi hata Mossad lakini kama Yanga itaburunda uwanjani ambayo ni more likely kutokea tena msimu huu hizo Jezi hazitouzika.Mafanikio ya Clabu yoyote ni uwanjani na si vinginevyo.
Fred ukienda hata kwenye maduka yake, anauza vitu vya low quality sana. Ndio maana mtu unaejielewa unaependa vitu standards huwezi kununua chochote kwa Vunja Bei.Vunjabei alishindanishwa na GSM akashindwa kwenye jezi za Yanga. Kulikuwa na mgogoro sana hasa ukiwahusisha kina Dismas Ten. Bahati nzuri Yanga walimshtukia kwa sababu hata mimi nilikuwa nampigia debe, ila naona ni mtu wa Guangzhou sana.
Mkuu nasubilia Rizoni Yako Kuhusu Huu Wa Simba. Hivi Mosport nayo ni kampuni Ya Utengenezaji Wa Jersey?Vunjabei alishindanishwa na GSM akashindwa kwenye jezi za Yanga. Kulikuwa na mgogoro sana hasa ukiwahusisha kina Dismas Ten. Bahati nzuri Yanga walimshtukia kwa sababu hata mimi nilikuwa nampigia debe, ila naona ni mtu wa Guangzhou sana.
Wewe huna akili kichwani, Club itapataje mafanikio kama haina mapato ya uhakika au hujui kuwa Club kubwa Duniani kama Real Madrid na Man United zinapata mapato yao kwa kuuza Jezi Original?
Duh kumbe nabishana na kiwiliwili tupuHaya kuna la maana kutoka Utopoloni kwa misimu minne mfululizo? Hayo mapato ya jezi za Utopolo ni ya Yanga au ya Ghalib? Yale yale ya mali ya mjomba wako kutwa kusumbua watu wakati wewe binafsi hata kibanda huna.Nenda kachukue akili zako kwa Msukule [emoji3][emoji3][emoji3]
Sasa nyie Chawa wa Mwamedi mlichokuwa mnapinga ni nini?
Nyie si kwenu huku waganga njaa wamejazana kibao kwenye club, mbona club nyingine kubwa Africa zinaweza why nyie au nao wana kiengo cha Mossad.
Yanga pamoja na kufanya vibaya jezi zake zinauzika sana, sasa jiulize Yanga wakianza kufanya vizuri itakuwaje?
Weka ushabiki pembeni ila kibiashara Fred kishaumia na Simba mshajiharibia,mbele inaweza kutokea kampuni na kuweka mpunga wa maana lkn ikifanya uchunguzi wake ataona anapoteza hela yake.
Kvuto kwani utavaa wewe?? kavae misukule yenuNyie makokolo mkiambiwa sisi tuna watu mnakataa,hii ndio taka taka yenu,jezi hazina hata mvuto,kolo.mnatia huruma hizi ndio jezi za kuzishindanisha na za Yanga
View attachment 1920130
View attachment 1920131
Hivi Mkuu hiyo Mosport ni kitu gani?
Duh kumbe nabishana na kiwiliwili tupu
Mzigo tayariNimeziona jezi za ugenini bado sijafanikiwa kupata ile ya nyumbani. Unazipa alama ngapi chini ya 10?
View attachment 1920109
View attachment 1920112
View attachment 1920117
View attachment 1920118
Maneno mengi hakuna la maana,ngoja nikachukue jezi za familia yangu Vunjabei Sinza.
Kachukue ,sasa kesho siku mliyo ipanga ya uzinduzi mnazindua jezi gani..........?Maneno mengi hakuna la maana,ngoja nikachukue jezi za familia yangu Vunjabei Sinza.
Kvuto kwani utavaa wewe?? kavae misukule yenu
Bila Shaka wewe utakuwa ndo Mama JMimi ni mwananchi ila kama kweli jezi ndio izo basi for me sio mbaya